Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,943
- 22,202
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisia kuwa Barack Obama ni muislamu. Leo nimekutana na hii interview aliyoifanya Obama na kugundua Rais huyo anaeenda kumaliza muda wake wa kukaa pale Magogoni Ya marekani ni mkristo wa kutupa.....
Obama's Religious Beliefs
Onyo: Hii thread sio ya kidini ila nilitaka kujua tu inakuaje mkatoliki kuwa raisi marekani ni mbinde halafu iwe rahisi kwa moslem
Obama's Religious Beliefs
Onyo: Hii thread sio ya kidini ila nilitaka kujua tu inakuaje mkatoliki kuwa raisi marekani ni mbinde halafu iwe rahisi kwa moslem