Kumbe babu ferguson anaweza kiduku

Kumbe babu ferguson anaweza kiduku

KIGENE

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
1,551
Reaction score
813
Wanajamvi nipe tafsiri ya Ferguson kutetemeka mikono na miguu kuliashiria nini, dogo mmoja alitania eti ni kiduku ya Ughaibuni ya kweli hayo?
 
alikuwa ndo anapiga bao.....unajua tena ukizidiwa ubongo unaweza tafsiri kuejaculate
 
Mwenyewe kabla ya kukutana na baka alianzakusema hatamani kukutana nao so kutetemeka sikushangaa
 
dah babu ali vibrate km simu ya philips savy duh namna ile huchelewi kupata parkinson disease au stroke. tatizo man u walijiona bora sana kumbe kuna wajanja zaidi yao.
 
Khaswa alijaribu na anaweza kucheza kiduku shenz taip,kafunzwa adabu na heshima,kasema hataki tena kukutana na barca,amekoma khasa.
 
Ruksa kusema mnavyotaka ni haki yenu! kwanza hongereni kwa kutufunga, timu yenu ni nzuri ilituzidia maujanja.
 
wengi hawajui kuwa Man U ni bonge la team na wanacheza kimkakati. Nasema hivi kwasababu kwa mpira waliocheza Barca, team nyingine ingefungwa goli 18 kwa makadirio ya chini. Kumbuka Madrid walikula mkono walipotia mguu tu.
 
Haaa haaa mzee mzima alikuwa anapiga kiduku?
 
Nasi vibonde wapo wa kuwachakaza kama arsenal, chelsea, liverpool, na wengineo si mnatuelewa muda sio mrefu ligi inaanza nas tutacheka
 
Aaaarrrrgggghh *#@*# it's over they lost uefa 3,when every other team was already a looser,YOU HEARD ME YOU WERE ALL LOOSERS B4. Any way listen loosers. They won the league kicked chelsick's butt and all glorious moments of lifting the trophy in ur face. Men i hate these Barcelona posts hivi Mods hamna mwana 'Man' achakachue...
 
wengi hawajui kuwa Man U ni bonge la team na wanacheza kimkakati. Nasema hivi kwasababu kwa mpira waliocheza Barca, team nyingine ingefungwa goli 18 kwa makadirio ya chini. Kumbuka Madrid walikula mkono walipotia mguu tu.

kweli wengi hawalioni hilo,wanabwatuka tu.
 
mimi nishawahi kukutana na babu ana kwa ana na babu ndio alivyo
 
dah babu ali vibrate km simu ya philips savy duh namna ile huchelewi kupata parkinson disease au stroke. tatizo man u walijiona bora sana kumbe kuna wajanja zaidi yao.

hapo kwa philips savy umenipeleka mbali kwan ni ukweli mtupu kuwa fergie alidatishwa
 
Back
Top Bottom