middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,309
- 1,695
Hiki kinywaji kinatumika sana chuoni kwetu ....watu wanagonga hadi vichupa vitatu per day ili wapige msuli mrefu ....tena at least mo energy ila uyo azam energy ndo kabisaaaa macho makavu mpk sa kumi alfajiri ...ila mzee baba ikifika sa 4 asubuhi kazi unayo ....