Kumbe Amewahi Kuishi Canada Kwa Miaka 9!

Kumbe Amewahi Kuishi Canada Kwa Miaka 9!

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau.
Nimeisoma
Nilikuwa sijui
Bernard_Membe_2009_(cropped)%20(1).jpeg

Screenshot_20191125-130514.jpeg
DtVBxMYXQAUIh6u%20(1).jpeg
 
jamani kuishi ndiyo awe anapelaka taarifa za kikachero za madege yetu au? TISS si wapo hawajaintercepti mawasilanio yake ama kwa vile naye ni TISS MKOGWE?

Ukitaka nyama ya kuku iwe tamu basi mchinje halafu mwachie apapatike na kurukaruka mpaka azime mwenyewena damu yote ikome kutoka kwa hakika hakuna mfanowe
 
Kwahyo Membe kafanyaje Hapo Mbona siku zote hamkusema kama jamaa aliwahi ishi huko
 
Dawa ya deni kulipa..

Kwa nini hawakulipa wao na walikuwa akina Kabudi pia?. Mwenzao anajitahidi wao wanajifanya washauri now. Kipindi kile wanapishana angani kaa chini kuna moto mbona walikuwa wanashauriwa mambo mengi na hawakujali? Watuache, kama zimeisha za Libya aende Misri.
 
Mleta mada kuna jambo anataka kutueleza, fafanua vyema tuelewe mkuu.
 
Back
Top Bottom