Kumbe Aliponea Chupuchupu: Kama Kesi ingepokelewa ICC saa hizi Magufuli angekuwa jela

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,020
Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.

Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.

Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
 
Au kale kazee kaliishtuka kakaona isiwe tabu kakameza sumu? Kale kajamaa kalikuwa kajanja kama sungura
 
Akili fupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…