kwa haraka harak waweza fikiri huyu farasi ni mjinga ila .. ila ukianza kufikiria kwa undani kabisa na kuingiza mambo ya physics and related mechanics.. huyu farasi anakili kulik wewe
Wanyama hufanya matendo yao kwa mazoea, kama alikuwa anafungwa sehemu ambayo kila alipokuwa akijaribu kuondoka akawa hawezi na alipofungwa hapa akajua mambo ni yale yale!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.