Kumbe Adama Barrow Rais mteule wa Gambia alibeba boksi

Adam sio rais mteule ni rahisi na sasa yuko ikulu wakati yahya jammeh yuko nje ya nchi akiogopa aibu
 
Ufafanuzi, juu ya hilo suala la mtoto wake kung'atwa na mbwa.

Ilikuwaje?
 
Mkuu, mtoto anaitwa Habib Barrow na aling'atwa na mbwa ambae bado hajaelezwa kwa undani ni mbwa wa aina gani kama ni kichaa au wa polisi au mbwa tu wa kutengenezwa.

Habibu alikuwa na umri wa miaka 8 na alifariki akiwa njiani kwenda hospitalini.

Baba yake ameshindwa kuhudhuria maziko y mwanae kwa usalama wake na bado yupo nchini Senegal.
 
Dah, ahsante kwa ufafanuzi.

Isije ikawa mambo yao ya kiganga, i mean hayo yalikuwa masharti
(yaani kafara)

Maana naona kuna utata sana hapo.
 
Adam sio rais mteule ni rahisi na sasa yuko ikulu wakati yahya jammeh yuko nje ya nchi akiogopa aibu
mkuu acha munkari cheq tarehe niliyoposti hii thread. Tuko maqin bro na current issues
 
Kumbe musi kama yahya jammeh anapofukuzwa kwenye madaraka hatakiwi hata kuwepo nchini tena
 
Baada nguvu kazi sasa ana wake wawili..
 
Back
Top Bottom