Kumaliza tendo la ndoa haraka

jashmoe32

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
1,055
Likes
187
Points
160
jashmoe32

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
1,055 187 160
Samahani ndugu zangu ila nilikuwa naomba msaada kujulishwa ni kitu gani huwa kinamfanya mwanaume goli la kwanza anakuwa na nguvu za kutosha ila baada ya hilo goli la kwanza,kinachofatia ni uume kulala.

Nawasilisha ndugu zangu na nategemea msaada wenu.
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Ulikuwa fundi mkubwa wa punyeto, sasa ndo gharama zake hizo unalipia. Kitu kingine ni haya machips yenu mnayokula na pamojana tomato sauces, chill nk. Jitahidi kufanya mazoezi sana achana na sigara na viroba. POLE sana kamanda ndo imetoka hivyo, ila ukila ugali wa mtama na dona na matunda mengi mengi pamoja na mboga za majani utakuwa fit tu.
 
Sanctus Mtsimbe

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined
Jul 14, 2008
Messages
1,848
Likes
212
Points
160
Sanctus Mtsimbe

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined Jul 14, 2008
1,848 212 160
samahani ndugu zangu ila nlikua naomba msaada kujulishwa ni kitu gan uwa kinamfanya mwanaume Goli la kwanza anakua na nguvu za kutosha ila baada ya hilo goli la kwanza,kinachofatia ni uume kulala.
Nawasilisha ndgu zangu na nategemea msaada wenu
Kuna maelezo mazuri: Mafanikio Na Afya Njema
 
Izz

Izz

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
735
Likes
11
Points
35
Izz

Izz

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
735 11 35
Madhara ya kujichua hayo mkuu, pole sana!
 
Z

ZABRONE JUSTINE

Senior Member
Joined
May 19, 2013
Messages
123
Likes
1
Points
0
Z

ZABRONE JUSTINE

Senior Member
Joined May 19, 2013
123 1 0
Dem wako hakuwa na mvuto tu,na pengne hana chumvi ya kutosha kulika,ucjar mi mwenyewe wk jana imentokea na huwa cpg punyeto na mcoc km kawaida 2,jarb tena,na toa jb.
 
N

Naoa

Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
49
Likes
2
Points
15
Age
31
N

Naoa

Member
Joined Apr 3, 2012
49 2 15
Du ninoma imenitokea mara mbili nimeogopa sana lakin kuna mdau kaongele lishe na pombe inaweza kua kwel. Maana mm ni supu chips kitimoto kwambali na koyagi kwa sana.
 
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,703
Likes
108
Points
160
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,703 108 160
samahani ndugu zangu ila nlikua naomba msaada kujulishwa ni kitu gan uwa kinamfanya mwanaume Goli la kwanza anakua na nguvu za kutosha ila baada ya hilo goli la kwanza,kinachofatia ni uume kulala.
Nawasilisha ndgu zangu na nategemea msaada wenu
Kwanza niseme mtoa mada maelezo yako hayajitoshelezi kupata ushauri unaofaa.Kuna vitu watu watataka kufahamu.
Kwa mfano:
1. Ni lini na ktk umri gani umeanza kuona tatizo hilo
2. Hili tatizo ni la moja kwa moja,au kuna siku nyingine unapata ktk muda ambao kwako unaona ndio wa kawaida kufunga goli
3. Ni kwa muda gani uume unalala kabla ya kusimama kwa ajili ya raundi nyigine.
4. Je hali hii inakutokea hata ukiwa na wanawake tofauti
5. Lakini pia hujasema kama hili ni tatizo lako au ni mtu mwingi

Hapa napenda kwanza tuelewane. Ni jambo la kawaida sana kimaumbile uume kulala baada ya kupata goli;na ndivyo inavyotakiwa kiafya! Kuna watu ni waongo sana au wanapenda sana sifa.Watu hawa wanadiriki kusema kuwa wana uwezo wa kwenda hadi roundi 3 bila uume kulala.Hii sio kweli! Na kama wapo,ni wachache sana na pia ni hatari kwa afya zao.Uume ukisimama ni kwamba damu nyingi imejaa na imetulia kwenye mishipa ya uume;baada ya kupata goli,damu inatakiwa kurudi tena kwenye mzunguko ili ikasafishwe.

Pia ni jambo la kawaida sana kupata mapema goli la kwanza kuliko magoli mengine yanayofuata.Hili ni jambo linaloelezeka kiuzuri tu kisayansi.Tusisahau hisia za mwanamke ziko mbali zaidi ukilinganisha na mwanaume.Pia tusisahau ktk mazingira yetu,ni jambo la kawaida mwanaume kuwa wa kwanza kumwandaa mwanamke.Hii ina maana gani?Kipindi chote ambacho unamwandaa bibie,ni wazi wewe binafsi stim zitakuwa zimepanda kupifikia point of no return,kwa hiyo haitakuchukua muda mrefu kabla hujatupia kitu kimyani! Hii ni normal kabisa kwa mwanaume,otherwise utuambie wewen hunaga tabia ya kumwandaa mwenzio.

Jambo lingine ni kuwa,kadiri umri unavyokwenda ndivyo na performance inavyokwenda ikishuka.Hatuwezi kulinganisha performance at 25yrs na 45yrs.Na hapa ndipo tunapokosea sana.Tumekuwa tunadhani tutaendelea kuwa sharp miaka yote,which is not true.Na ndio maana unapopost hapa tatizo kama hili,wewe una miaka 40,unategemea kijana wa miaka 25 atakuelewa! Kwake yeye tatizo hilo hana,sana sana ndipo comments za ajabu ajabu zinapotokea.

Tunapoanza mahusiano,kila mmoja anamwona mwenzie ni mtamu kuliko kitu chochote.Ni kawaida kukesha mnatupia vitu,this is normal hasa ktk umri mdogo(kijana).Jinsi mnavyokaa pamoja mnazidi kuzoeana hadi kufikia hali ambayo kila mmoja wenu anamwona mwenzie ni wa kawaida sana;hana jipya.Hakuna ule utamu wa mwanzao tena.Ikitokea hivyo tunakuwa tunafanya kimazoea zaidi na sio kimapenzi.Kwa hiyo hata zile raundi nyingi tunaanza kupunguza inafikia unapiga kimoja tu unalala.Kwa hiyo na mwili/hisia zina adapt raundi chache,sasa siku ukitaka kupiga marathon zile za kipndi kile,unashindwa.Sasa hapo ndio utaona watu wanakuja humu wakilalamika wamepungukiwa nguvu za kiume! Kimbe ir's just physiologocal adaptation.

Kuna kitu kinaitwa premature ejaculation;hiki kinaconfuse sana watu.Kwa mfanzo umenchezea sana bibie umefikia a point of no return,kiasi tu cha kuingiza tu ndani inahitajika friction ndogo tu kabla mzigo haujashuka-it may take even 10 seconds unashusha mzigo,hapo huwezi kusema hiyo ni premature ejaculation coz ni muda mrefu stim zimekuwa build up.Hapa kuna watu watasema mtu anaweza kukontrol,which may be true,lkn hii ni experience inayohitaji practice ya muda mrefu;na bahati mbaya sana si wengi wanaojua namna ya kufanya zoezi hilo.

Mimi nadhani kuna wakati theories tunazosoma kwenye mtandao na vijarida mbali mbali mtaani haziendani na hali halisi ya maumbile yetu.Kumbuka watu hatufanani,unaloweza kufanya wewe sio lazima mimi niweze kulifanya,kwa kiwango chako.Lakini pia pamoja na hayo,ukweli unabaki palepale kwamba,ktk mambo ya siri namna hii na yanayohitaji kufanika kuwa kushirikiana watu wawili kama hili,kuna theories nyingi ambazo hata siku moja haiwezi kuleta matokeo sawa kwa kila mtu.What worked for you may not alway work for me! Tusidanganyane jamani.

Lakini pia ni ukweli usiopingika kwamba matatizo mengi yanayoletwa hapa hasa haya yanayohusiana na sex,are not really problems! Kwenye sex almost everything is psychological oriented;and psychologically tunatofautiana sana.What matters ni kufanya na kumaintain what works for you.Unaweza ukasema masterbation ndio sababu kumbe hata mtu mwenyewe hana tatizo lolote,au pengine kuna mwingine amefanya sana hiyo kitu(masterbation) lkn bado anaperform exellent kitandandi!

Halafu tusisahau kitendo cha sex ni two ways traffic.Kila mmoja ni trigger ya mwenzie;kwa maana kwamba mwenzio ni factor muhimu kukufanya uperform vizuri au vibaya kitandani.Pamoja na hayo,pia kuna factors zingine kama mood,mazingira mnayofanyia kitendo hicho nk.nk.nk...so sio masterbation tu jamani!
 
jashmoe32

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
1,055
Likes
187
Points
160
jashmoe32

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
1,055 187 160
Dem wako hakuwa na mvuto tu,na pengne hana chumvi ya kutosha kulika,ucjar mi mwenyewe wk jana imentokea na huwa cpg punyeto na mcoc km kawaida 2,jarb tena,na toa jb.
Mkubwa unaweza ukawa sahihi mana kuna dada mmoja mara ya kwanza nasex nao nlipga goli moja tu na mboo ikalala ila alivokuja mara ya pili,nlimpiga goli la kwanza na baada ya muda nkampanda tena ila hyo mara ya pili nlimfanyia mambo lakin baadae alivolalamika amechka,nkatoa mboo na haikuweza kusimama tena.Sasa hapo cjajua tatzo
 
jashmoe32

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
1,055
Likes
187
Points
160
jashmoe32

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
1,055 187 160
Kwanza niseme mtoa mada maelezo yako hayajitoshelezi kupata ushauri unaofaa.Kuna vitu watu watataka kufahamu.
Kwa mfano:
1. Ni lini na ktk umri gani umeanza kuona tatizo hilo
2. Hili tatizo ni la moja kwa moja,au kuna siku nyingine unapata ktk muda ambao kwako unaona ndio wa kawaida kufunga goli
3. Ni kwa muda gani uume unalala kabla ya kusimama kwa ajili ya raundi nyigine.
4. Je hali hii inakutokea hata ukiwa na wanawake tofauti
5. Lakini pia hujasema kama hili ni tatizo lako au ni mtu mwingi

Hapa napenda kwanza tuelewane. Ni jambo la kawaida sana kimaumbile uume kulala baada ya kupata goli;na ndivyo inavyotakiwa kiafya! Kuna watu ni waongo sana au wanapenda sana sifa.Watu hawa wanadiriki kusema kuwa wana uwezo wa kwenda hadi roundi 3 bila uume kulala.Hii sio kweli! Na kama wapo,ni wachache sana na pia ni hatari kwa afya zao.Uume ukisimama ni kwamba damu nyingi imejaa na imetulia kwenye mishipa ya uume;baada ya kupata goli,damu inatakiwa kurudi tena kwenye mzunguko ili ikasafishwe.

Pia ni jambo la kawaida sana kupata mapema goli la kwanza kuliko magoli mengine yanayofuata.Hili ni jambo linaloelezeka kiuzuri tu kisayansi.Tusisahau hisia za mwanamke ziko mbali zaidi ukilinganisha na mwanaume.Pia tusisahau ktk mazingira yetu,ni jambo la kawaida mwanaume kuwa wa kwanza kumwandaa mwanamke.Hii ina maana gani?Kipindi chote ambacho unamwandaa bibie,ni wazi wewe binafsi stim zitakuwa zimepanda kupifikia point of no return,kwa hiyo haitakuchukua muda mrefu kabla hujatupia kitu kimyani! Hii ni normal kabisa kwa mwanaume,otherwise utuambie wewen hunaga tabia ya kumwandaa mwenzio.

Jambo lingine ni kuwa,kadiri umri unavyokwenda ndivyo na performance inavyokwenda ikishuka.Hatuwezi kulinganisha performance at 25yrs na 45yrs.Na hapa ndipo tunapokosea sana.Tumekuwa tunadhani tutaendelea kuwa sharp miaka yote,which is not true.Na ndio maana unapopost hapa tatizo kama hili,wewe una miaka 40,unategemea kijana wa miaka 25 atakuelewa! Kwake yeye tatizo hilo hana,sana sana ndipo comments za ajabu ajabu zinapotokea.

Tunapoanza mahusiano,kila mmoja anamwona mwenzie ni mtamu kuliko kitu chochote.Ni kawaida kukesha mnatupia vitu,this is normal hasa ktk umri mdogo(kijana).Jinsi mnavyokaa pamoja mnazidi kuzoeana hadi kufikia hali ambayo kila mmoja wenu anamwona mwenzie ni wa kawaida sana;hana jipya.Hakuna ule utamu wa mwanzao tena.Ikitokea hivyo tunakuwa tunafanya kimazoea zaidi na sio kimapenzi.Kwa hiyo hata zile raundi nyingi tunaanza kupunguza inafikia unapiga kimoja tu unalala.Kwa hiyo na mwili/hisia zina adapt raundi chache,sasa siku ukitaka kupiga marathon zile za kipndi kile,unashindwa.Sasa hapo ndio utaona watu wanakuja humu wakilalamika wamepungukiwa nguvu za kiume! Kimbe ir's just physiologocal adaptation.

Kuna kitu kinaitwa premature ejaculation;hiki kinaconfuse sana watu.Kwa mfanzo umenchezea sana bibie umefikia a point of no return,kiasi tu cha kuingiza tu ndani inahitajika friction ndogo tu kabla mzigo haujashuka-it may take even 10 seconds unashusha mzigo,hapo huwezi kusema hiyo ni premature ejaculation coz ni muda mrefu stim zimekuwa build up.Hapa kuna watu watasema mtu anaweza kukontrol,which may be true,lkn hii ni experience inayohitaji practice ya muda mrefu;na bahati mbaya sana si wengi wanaojua namna ya kufanya zoezi hilo.

Mimi nadhani kuna wakati theories tunazosoma kwenye mtandao na vijarida mbali mbali mtaani haziendani na hali halisi ya maumbile yetu.Kumbuka watu hatufanani,unaloweza kufanya wewe sio lazima mimi niweze kulifanya,kwa kiwango chako.Lakini pia pamoja na hayo,ukweli unabaki palepale kwamba,ktk mambo ya siri namna hii na yanayohitaji kufanika kuwa kushirikiana watu wawili kama hili,kuna theories nyingi ambazo hata siku moja haiwezi kuleta matokeo sawa kwa kila mtu.What worked for you may not alway work for me! Tusidanganyane jamani.

Lakini pia ni ukweli usiopingika kwamba matatizo mengi yanayoletwa hapa hasa haya yanayohusiana na sex,are not really problems! Kwenye sex almost everything is psychological oriented;and psychologically tunatofautiana sana.What matters ni kufanya na kumaintain what works for you.Unaweza ukasema masterbation ndio sababu kumbe hata mtu mwenyewe hana tatizo lolote,au pengine kuna mwingine amefanya sana hiyo kitu(masterbation) lkn bado anaperform exellent kitandandi!

Halafu tusisahau kitendo cha sex ni two ways traffic.Kila mmoja ni trigger ya mwenzie;kwa maana kwamba mwenzio ni factor muhimu kukufanya uperform vizuri au vibaya kitandani.Pamoja na hayo,pia kuna factors zingine kama mood,mazingira mnayofanyia kitendo hicho nk.nk.nk...so sio masterbation tu jamani!
Nashukuru sana kwa ushauri mkubwa majibu yote yapo hapa hapa na nna umri wa miaka 26
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,027
Likes
5,483
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,027 5,483 280

Pamoja na Majibu aliyokupa Mkuu.@Mrimi wewe.Mkuu@jashmoe32 hujajibu Maswali ya Mkuu Mrimi aliyokuuliza hapo juu mimi pia ninarudia tafadhali jibu haya Maswali acha kukwepa hutaweza kupewa ushauri ukikwepa Maswali yatu jibu hapa chini Tafadhali.

1. Ni lini na ktk umri gani umeanza kuona tatizo hilo
2. Hili tatizo ni la moja kwa moja,au kuna siku nyingine unapata ktk muda ambao kwako unaona ndio wa kawaida kufunga goli
3. Ni kwa muda gani uume unalala kabla ya kusimama kwa ajili ya raundi nyigine.
4. Je hali hii inakutokea hata ukiwa na wanawake tofauti
5. Lakini pia hujasema kama hili ni tatizo lako au ni mtu mwingi
6: Umesha wahi kupiga Punyeto? na kwa muda gani uliwahi kupiga Punyeto na kuacha?
7. Umsha kwenda kupima Hospitali kam una maradhi ya kisukari au maradhi ya moyo?

Jibu hayo maswali unaweza kupatia Msaada wa mawazo na hata Dawa ya kukutibu asante.
 
Samahan kwa kutotoa majibu kama ilivostahili na majib nimeyaweka hapo chini

1. haizd Miezi sita toka hili tatzo lnitokee
2. uwa inalala pindi nkitaka kuingia na kutafta goli jngne au kwa ajili ya goli la pili
3. Si kwa wanawake wote na ni msichana mmoja ambae alikuja mara ya kwanza nkatoa goli la kwanza na sikusimama tena na mara ya pili alivokuja nltoa la kwanza na nkarud tena raundi ya pili ila sikukaa sana nkatoa mboo na ikalala na iltokana na mwenzangu kulalamika sana kua kachoka na namuumiza ndo nahisi ilichangia na uwa nna tabia ya kupania mechi
4. Tatzo ni langu
5. Nimewah kupga punyeto na mara ya mwisho ni mwez uliopita na sasa hvi nimeacha
6. Siumwi kisukari wala maradh yoyote ya moyo
Naamini nimejibu maswali yote na samahan kwa ukimya
 
Asante kwa majibu yako jashmoe32 Tatio lako ni hilo la kupiga Punyeto na acha mambo ya stress na uwoga ukiwa na mpenzi wako vinachangia ambo ya Upungufu wa nguvu za kiume.

Upungufu wa nguvu za kiume husababishwa na magonjwa ya moyo, kisukari, mafuta mengi mwilini (high cholesterol), uvutaji sigara, matumizi ya

madawa ya kulevya, matatizo katika uhusiano, mawasiliano duni na mwenza wako, matatizo ya kisaikolojia, msongo wa mawazo, wasiwasi

(anxiety),unywaji pombe,upungufu wa homoni aina ya testerone, kuongezeka uzito au uzito uliopitiliza, tabia ya kujichua kwa muda mrefu Kupiga

Punyeto (masturbation) nk. Hebu Tembelea hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html

Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,703
Likes
108
Points
160
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,703 108 160
Samahan kwa kutotoa majibu kama ilivostahili na majib nimeyaweka hapo chini

1. haizd Miezi sita toka hili tatzo lnitokee
2. uwa inalala pindi nkitaka kuingia na kutafta goli jngne au kwa ajili ya goli la pili
3. Si kwa wanawake wote na ni msichana mmoja ambae alikuja mara ya kwanza nkatoa goli la kwanza na sikusimama tena na mara ya pili alivokuja nltoa la kwanza na nkarud tena raundi ya pili ila sikukaa sana nkatoa mboo na ikalala na iltokana na mwenzangu kulalamika sana kua kachoka na namuumiza ndo nahisi ilichangia na uwa nna tabia ya kupania mechi
4. Tatzo ni langu
5. Nimewah kupga punyeto na mara ya mwisho ni mwez uliopita na sasa hvi nimeacha
6. Siumwi kisukari wala maradh yoyote ya moyo
Naamini nimejibu maswali yote na samahan kwa ukimya
Kwa mtazamo wangu,this is more psychological zaidi kuliko hiyo punyeto! Mzizi wa tatizo hili unapatikana hapo kwenye red.
1. Kwanza si kwa wasichana wote.Siamini kama hiyo punyeto inaleta shida kwa msichana mmoja tu ila kwa wengine fresh tu.
2. Tendo hili ni two ways traffic.Sasa hapa mrembo analalamika,unachomoa kitu,kinalala,unashindwa kuendelea! Hujaona tatizo hapo? Punyeto inahusika vipi hapo?Hii inaweza kumtokea mtu yeyote;ni kwamba hapo hisia zinashuka!

Lakini pamoja na hayo,bado kuna maswali mengine:
1. Umesema tatizo limeanza miezi sita iliyopita,je limekutokea mara ngapi?
2. Umesema si kwa wasichana wote halafu umetoa mfano wa msichana mmoja tu,je ktk kipindi hiki cha miezi sita umefanya tendo hilo mara ngapi,na tatizo limekupata mara ngapi na ni mara ngapi umeperform fresh?
3. Umeishia tu kusema ulishawahi kupiga punyeto lakini hujasema umepiga kwa muda gani.Nasisititiza hapa:Tatizo si kupiga punyeto,tatizo ni je umepiga kwa kipindi gani na mara ngapi kwa siku/wiki.Utafiti unaonesha kwamba kila mwanaume ameishawahi kupiga punyeto ktk maisha yake,ama kwa kujitambua au bila kujitambua!Kwa hiyo tunaposema punyeto ni vema tukawa specific,huh!

The way forward:
Hili tendo ni takatifu,unapotaka kulifanya unatakiwa kujitoa kikamilifu.Unatakiwa kufocus,hisia zako zote uzielekeze hapo.Kumbuka pia hii ni two ways traffic hivyo na mwenzio naye anatakiwa kufocus na kuweka hisia zake zote hapo kitandani.Hutaweza kupata matokeo mazuri ikiwa mwenzio hakupi ushirikiano.Usisahau kila mmoja ni kichocheo cha mwenzie,so kila mmoja anatakiwa kutimiza wajibu wake kwa mwenzie.

Katika umri wako,sababu kubwa ya kushindwa kuperform vizuri ni psychological zaidi;na mara nyingi ni kukosekana kwa mood na ule utayari wa kila mmoja.Bahati nzuri wengi wetu tulishapitia umri huu,so tunao uzoefu wa kutosha.Kwa mazingira ya huku kwetu/kibongobongo,wavulana ndio mastarring.Wakati wote ni mvulana anaomba mchezo,so hata kama binti hayuko tayari,wengi wetu tunadhania anajivunga tu analeta sitaki-nataka kwa hiyo inabidi mwanaume ufosi kingi! Kama ulivyosema,una tabia ya kukamia hizo mambo,do you think ukimwona mrembo geto kwako unamwachia kirahisi?! Je,una hakika kila msichana anayekuja kwako yuko tayari kwa gem?!

Tena ktk hili mood ya binti inatakiwa iwe first priority.Kwa umri wako ni rahisi sana kumchukua binti ambaye bado yupo chini ya walezi/wazazi wake.Kwa hiyo ni mara nyingi kukuta msichana anawalia timing pale nyumbani kwao,anachepuka tu mara moja anakuja kwako.So,do you think atakuwa confortable and relaxed kwa hizo mambo?Obvious ni hapana.Lakini hata kama unachukuwa msichana ambaye yuko free,naamini atakuwa na umri mdogo tu.Na ukumbuke wasichana wa umri mdogo ni rahisi sana kuwa stressed hata kwa visababu visivyokuwa na msingi.Kwa hiyo unaweza kuwa unashughulika mweyewe tu pale kitandani,kumbe mwenzio yuko mbali sana na wewe.So ataanza kukauka uchi wake,atalalamika,wewe utachomoa kitu ili apumzike matokeo yake italala halafu utakuja hapa kuomba msaada!
 
K

krwakatale

Member
Joined
Jan 25, 2013
Messages
22
Likes
0
Points
0
K

krwakatale

Member
Joined Jan 25, 2013
22 0 0
Watu wameongea mengi..lakini njia rahisi(kutoka ktk jarida fulani UK.)..kuna namna ya kufanya zoezi(uume wako)na kuweza kuondoa tatizo ilo..1,,jaribu kuwa kama unavuta mkojo usitoke(lakini usiwe na mkojo),fanya izo kila siku uwezavyo.(hakuna madhara)..tendo hili huimalisha misuli yako na mzunguko wa damu....for mor inf nitafute +255716512719..nikupe maelezo ya jins ya kupata ilo jarida
 
Forum statistics

Threads 1,272,337
Members 489,924
Posts 30,448,094