kumaliza kuwa msomi level ya shahada na kuendelea sio kigezo cha kupata kazi kwa nyakati hizi...v

Noel Mathenus

Member
Nov 2, 2016
73
51
kwanza kabisa habarini wana JF maada yangu leo na mahusiano Kati ya elimu ya degree iliyonayo na suala la ajira, kwa miaka kuanzia 2005 kurudi nyuma mtu ukiwa unadegree watu tulikuwa tunashangaa na suala la kupata kazi haikuwa shida maana wasomi walikuwa wanahesabika, ila kuanzia miaka ya 2006 utawala wa Dr jakaya kikwete idadi ya wasomi iliongezeka kama utitiri na kufikia miaka ya hivi karibu wasomi ni wengi sana, tikisema tuwaite wasomi wanaweza wakajaa treni zote,mwendokasi zote, meli za bharkresa zote na bado wasitoshe.

suala muhimu lililobakia kwa vijana wote waliomaliza elimu zao na wanaoendelea tusobweteke kwamba kuna ajira, ajira hazipo kilichobakia ni kujiongeza tu....
kinachonsikitisha zaidi kwa wale wanaoendelea na masomo na wanamikopo ya board matumizi ni hovyo, sikupangii matumizi maana sitakusaidia kukulipia ukimaliza masomo lakini ni rai yangu tu, maana baada ya kumaliza sidhani kama baadhi ya wazazi watakuwa tayari kuendelea kukununulia mawigi kwa akina dada, au zile za kubana kwa magentlemen (model) unachokipata kidogo inawezekana kabisa ukafanya matumizi agent na ukasave some.maana serikali yenyewe wanasema hakuna ajira mimi ni nani hata nifikirie kuhusu ajira.
Ni mtazamo tu unaweza ukakubali au ukatae chaguo ni lako mtanzania mwenzangu
 
Point noted
 
Back
Top Bottom