frank mayige
Member
- Jan 5, 2013
- 61
- 11
naulizia nina hitaji kutengeneza website, mwenye uelewa tafadhali domain wanalipia shilingi ngapi kwa mwaka
Habari, inategemea na hiyo nani amehost..ila kwa ujumla zote hosting na domain wengi wanafanya <200knaulizia nina hitaji kutengeneza website, mwenye uelewa tafadhali domain wanalipia shilingi ngapi kwa mwaka
ok ahsanteDomain kwa mwaka ni tsh 30000
ok poadomain ni 25000 nichek 0743497079 naweza pia kukutengenezea full website kwa 150,000
poa kabla ya kazi unalipia 60% na baada ya kazi unamalizia 40%ok poa
NI kweli kuna downpayment ila kwa sababu hakuna bank guarantee inayotolewa na kwa sababu biashara za sisi wa bongo hua hazitabiriki nadhani alipie 20% ,then na progressive payment kulingana na kazi imefika wapipoa kabla ya kazi unalipia 60% na baada ya kazi unamalizia 40%
ok sawa nimekuelewa mkuuNI kweli kuna downpayment ila kwa sababu hakuna bank guarantee inayotolewa na kwa sababu biashara za sisi wa bongo hua hazitabiriki nadhani alipie 20% ,then na progressive payment kulingana na kazi imefika wapi