Kulipia Azam kwa mitandao ya simu.

Kulipia Azam kwa mitandao ya simu.

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,325
Hi wadau,
mida ya saa mbili usiku nimelipia huduma ya azam kwa kutumia mtandao wa simu,nimepokea sms kwamba nimefanikiwa kujiunga na ikanipa na jina langu kabisa,cha kushangaza mpaka sasa channel za kulipia hazioneshi(acess denied),je kuna steps nyingine za kufanya ili ionyeshe? nimepiga simu call center ivr inaniambia mwisho wa kazi ni saa moja,need your help on this one.
 
Back
Top Bottom