Kulipa si hoja, japo tuoneshe kujali

Kulipa si hoja, japo tuoneshe kujali

mkuu kwani inabidi tuombane nini?
Mi nazani kukiwa na shida yoyote, endapo kuna uwezekano wa kumsaidia mwenzio..ni vizuri ukamsaidia![/QUOTE

Vipo vingi alakn vocha its so 90's...karne hii kila sehemu unapata vocha bank mpk mitandao ya simu..labda km unadate wanafunzi sawa..
 
itakuwa mimi ndiye ninayejiendekeza vibaya...yaani naonekana nadate na Wanafunzi!!?
Ahsante mkuu nimekuelewa!!
 
pole aiseee.....ila kuna watu hawajui kushukuru......yani ndo wako hivyo neno asante kwao ni shida....
 
Inavunja Moyo Sana..,''Binadam Kaumbiwa Mateso''... Lakini Anastahili Kupozwa!!

Mwenzio Anajitutumua, kidogo Alichopata kushea Nawe,....Ni ''Kidogo'' Lakini Hata Shukrani Hakuna?!!.......
Wanibipu Baada Ya Masaa 9(Hapo Vocha Nishakutumia!)....Nakukumbusha Tena Kama Kimekufikia!....Eti, Unashtuka Sasa Na Kunishukuru!!...LOH!!
Bora Ningemfadhiri Hata Ndugu Yangu!!

acha kulialia mtoto wa kiume, chunwa kimyakimya!
 
hahahahah
sasa mkuu uwezo wangu ndo hapo!!..au unataka nikakabe ili nijiongeze?

then umejipimia pasipokutosha, tafuta anayeshukuru kwa hicho kidogo!
btw, ukimaliza kupiga huwa unamwambia "asante"?...lol
 
acha kulialia mtoto wa kiume, chunwa kimyakimya!

we endelea kujifanya mgumu
mapenzi yamejengwa na kilio na furaha
tofauti na hapo huo ni utumwa!
kutotendewa haki, wala kutolilia mabadidiriko?....ndio, huo ni uzembe!
 
then umejipimia pasipokutosha, tafuta anayeshukuru kwa hicho kidogo!
btw, ukimaliza kupiga huwa unamwambia "asante"?...lol

mkuu kama unaniona vile!!...ahsante muhimu sana aisee!!
 
utani bwana.....ukizingatia leo sikukuu tufurahi...acha majonzi....

sawa mkuu!
Ahsante kwa kunipa matumaini
kweli leo ni furahi day!...yaani umenikumbusha Song la ''Nonini Ft. NameLess'' acha Niitumie vizuri EID yangu!
 
sawa mkuu!Ahsante kwa kunipa matumainikweli leo ni furahi day!...yaani umenikumbusha Song la ''Nonini Ft. NameLess'' acha Niitumie vizuri EID yangu!
poa poa.....sikukuu njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom