Ushaanza mambo yako
tutafanyaje sasa(ndo mawifi zako hao).......kwanza mwenzio nina machungu hapa!!
mkuu huyu mtu kabla ya yote nataka nimpe funzo, kwanza aliwahi niacha huyu!!
Hawezi kucheza na akili yangu hata kidogo, lazima nimlipishe!!
sawa Kiongozi na ahsante kwa maoni yako
mi naona ni kutojitambua tu, nimemsoma naona kama hana mtu zaid yangu!
mkuu hilo naliweza na ninalimudu sana
lakini huwezi ishi hivi kila siku!!
Kwa nini uishi na sononeko kila siku?
Raha ya mahusiano iko wapi sasa? Bora utafute ustaarabu mwingine...!
Kwa nini uishi na sononeko kila siku?
Raha ya mahusiano iko wapi sasa? Bora utafute ustaarabu mwingine...!
kuja kuchukua hataki, anataka kutumiwa!
mkuu suala sio kushukuru tu!..bali pia kuonesha ulichopewa kinafika lengo
nakuuliza mwenzangu umepata
hata kunijibu hakuna...
mida ya kwenda kulala ndio unibip na vocha nimetuma?!!!!