ebby26
New Member
- Nov 7, 2014
- 4
- 0
Wadau kwanza hodi hodi ndio mara ya kwanza..
Hili suala la ukitaka mlango wa duka unapewa bei kwa Dollar na unaambiwa mfano dollar 15 per square meter.
Jamani hili jambo litaisha lini? Kwanini isiwe Tshs? Sie pesa yetu ni tshs. Usd inapanda ina shuka hivyo landlord yeye hapotezi thamani ya hela yake bali mpangaji. Pia mambo ya kupima square meter nayo ni kutaka kuumizana tu.
Hali tulionayo kwa sasa ina bidi tuwe tuna anagaliana. Wenye nyumba au fremu za maduka wekeni bei kulingana na hali ya nchi. Sasa hivi biashara ina kua ngumu na bei basi shusheni.
Hili ndio dukuduku langu la kwanza.
Nashukuru.