| NGAZI YA ELIMU | (1) UFUNDI STADI | (2) UFUNDI | (3) VYUO VIKUU | (4) UTAALAMU | (5) ELIMU HAINA MWISHO |
10 | Shahada ya Uzamivu | Shahada ya Uzamivu | <<=== | ||
9 | Shahada ya Uzamili | Shahada ya Uzamili | Cheti cha Utaalam Ngazi ya 4 (Utaalamu Bingwa 2) | <<=== | |
8 | Shahada ya Kwanza | Shahada ya Kwanza | Cheti cha Utaalam Ngazi ya 3 (Utaalamu Bingwa 1) | <<=== | |
7 | Diploma ya Juu | Diploma ya Juu | Cheti cha Utaalam Ngazi ya 2 | <<=== | |
6 | Diploma ya Kawaida | Diploma ya Kawaida | Cheti cha Utaalam Ngazi ya 1 | <<=== | |
5 | NTA Level 5 FTC (zamani) | Cheti cha Kidato cha 6 | Cheti cha Utaalam Ngazi ya Fundi Mchundo 2 | <<=== | |
4 | NVA III VTC Gredi I (zamani) | Cheti cha NTA Level 4 GCE (zamani) | Cheti cha Kidato cha 4 | Cheti cha Utaalam Ngazi ya Fundi Mchundo 1 | <<=== |
3 | NVA II VTC Gredi II (zamani) | <<=== | |||
2 | NVA I VTC Gredi III (zamani) | <<=== | |||
1 | ELIMU YA MSINGI | <<=== |
sawa Mkuu, nmekuelewa vyema kabisa, hongera kwa ufafanuzi mzuri.Kuhusu pointi namba 1, Vocational Education (Ufundi) na Technical Education (Ufundi-Mchundo) wakati mwingine huchanganywa sehemu moja.
Kuhusu pointi namba 2, ufumbuzi ni kuanzishwa kwa Mamlaka ya Kulinganisha Elimu (National Qualifications Authority, NQA), kama ambavyo Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2015 inavyosema:
Na pia Sera ya Utumishi wa Umma iseme kiwango cha chini cha elimu ya mtumishi aliyeajiriwa baada ya mwaka 2004 iwe ngazi ya nne ya elimu kama ilivyoainishwa kwenye NQF au kama itakavyotafsiriwa na NQA. Ngazi ya nne inaweza ikawa NVA3, Kidato cha Nne, RPL, NTA 4, au ngazi fulani ya utaalamu. Badala ya ilivyo sasa ambavyo sera inatambua kifungu kimoja tu cha ngazi ya elimu (kidato cha nne).
ILANI YA CCM KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2015sawa Mkuu, nmekuelewa vyema kabisa, hongera kwa ufafanuzi mzuri.
Lakini pia kama hiyo NQA ikianzishwa huoni kama kutakua na mlundikano wa Taasisi za kielimu, kwanini hilo jukumu la kuja kufanywa na hiyo NQA lisiwekwe kwa mfano huko TCU tu au NECTA tu?
Kila taasisi kwa sasa imekuwa kama "silo". NQA itakuwa ina "harmonize" njia mbalimbali za elimu. Jukumu hilo likiachiwa NECTA au TCU, itakuwa ni kuleta "Refa-mshambuliaji" mwingine. TCU na NECTA zote ni taasisi kwenye njia moja tu ya elimu. Ziko njia nyingine nne... zenye taasisi mbalimbali.sawa Mkuu, nmekuelewa vyema kabisa, hongera kwa ufafanuzi mzuri.
Lakini pia kama hiyo NQA ikianzishwa huoni kama kutakua na mlundikano wa Taasisi za kielimu, kwanini hilo jukumu la kuja kufanywa na hiyo NQA lisiwekwe kwa mfano huko TCU tu au NECTA tu?
Nimeboresha. Ufundi Stadi (Vocational) na Ufundi (Technical) nilikuwa nimevichanganya. Asante kwa kubaini.Mtoa mada ahsante kwa mada yako nyeti sana, nianze kusema awali nilihisi umechanganya sehemu ya ufundi mchundo na ya ufudni kuwa umefanya vice versa, lakini nahisi nmeelewa japo sijui kama iko sahihi sehemu ulizoziweka, ila umefafanua vyema kwa kila njia, nami niongezeee kidogo kwa uelewa wangu na nliyoyaona.
kaka nmekuelewa vyema kbs, nazidi kukupongeza juuu ya hili. nmeelewa kuhusu NQA pia. lakini nasisitiza kama walivyoonyesha hapo kwenye ilani kuna haja ya baadhi ya Taasisi aidha kuunganishwa kuwa moja au baadhi ya majukumu yahamie kwingine, mfano VETA na NACTE kuna majukumu wanafanana na kuna mmoja anafanya zaidi nafkiri aidha ziunganishwe ziwe taasisi moja au baadhi ya majukumu yatoke VETA yaende NACTE ili kupunguza urasimu katika shughuli za VETA na kuongeza ufanisi zaidi!!Kila taasisi kwa sasa imekuwa kama "silo". NQA itakuwa ina "harmonize" njia mbalimbali za elimu. Jukumu hilo likiachiwa NECTA au TCU, itakuwa ni kuleta "Refa-mshambuliaji" mwingine. TCU na NECTA zote ni taasisi kwenye njia moja tu ya elimu. Ziko njia nyingine nne... zenye taasisi mbalimbali.
Asante bro. Ilipata kusikika miaka kidogo iliyopita, palikuwa na mpango wa kuunganisha TCU, NACTE, VETA n.k., ili kupunguza utitiri wa taasisi. Sina hakika mipango hiyo kama ipo kweli. Kadhalika, sina hakika na kemia iliyoko baina ya taasisi hizo. Pengine an umbrella organization, particularly with respect to harmonizing their awards inawezekana kuwa ya muhimu.kaka nmekuelewa vyema kbs, nazidi kukupongeza juuu ya hili. nmeelewa kuhusu NQA pia. lakini nasisitiza kama walivyoonyesha hapo kwenye ilani kuna haja ya baadhi ya Taasisi aidha kuunganishwa kuwa moja au baadhi ya majukumu yahamie kwingine, mfano VETA na NACTE kuna majukumu wanafanana na kuna mmoja anafanya zaidi nafkiri aidha ziunganishwe ziwe taasisi moja au baadhi ya majukumu yatoke VETA yaende NACTE ili kupunguza urasimu katika shughuli za VETA na kuongeza ufanisi zaidi!!
Nafkiri bado tuna safari ndefu kama hatutochukua hatua za ziada juu ya hili, na nna wazo flan hivi nlkua najadili na wadau, ngoja nkitulia nliweke vzr tujadili hapaAsante bro. Ilipata kusikika miaka kidogo iliyopita, palikuwa na mpango wa kuunganisha TCU, NACTE, VETA n.k., ili kupunguza utitiri wa taasisi. Sina hakika mipango hiyo kama ipo kweli. Kadhalika, sina hakika na kemia iliyoko baina ya taasisi hizo. Pengine an umbrella organization, particularly with respect to harmonizing their awards inawezekana kuwa ya muhimu.
Kuhusu TzQA, pana dokumento moja ya UNESCO, inasema:
The institutional set-up for the TzQF is not yet complete. In line with international best practice, Tanzania intends to establish a national qualifications authority, the TzQA, which will create and maintain an electronic register for all TzQF qualifications and providers. Establishment of the TzQA will be enacted by Parliament. The TzQA Act will, among other things, stipulate the responsibilities of existing bodies such as the National Examinations Council of Tanzania (NECTA), the Vocational Education and Training Authority (VETA), NACTE, the TCU and professional bodies with respect to the TzQF
(ukurasa wa pili, https://uil.unesco.org/fileadmin/keydocuments/LifelongLearning/en/Tanzania.pdf )
Nyatunyatu zinaashiria ukinzani mkubwa dhidi ya mfumo huu wa kulinganisha elimu.