Labda tutazoea style mpya ya utawala wa awamu ya 5.
Hivi ni sahihi kwa rais kumtuma PM kutoa maagizo kwa mawaziri wake mbele ya waandishi wa habari? Asingeweza kumtuma awapigie simu au kutumia vyombo vingine?
Situnawapa sababu wanaosema awamu hii ni ya 'misifa'? Hata kutimua kazi watu mbele ya kamera za wanahabari inakuwa imepangwa?