sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,501
- 2,934
Kama kichwa kinavyojieleza. Mbowe kwa sasa amekuwa kimya na hata akijaribu kufanya kitu au kuongea hasikiki wala kutrend kabisa.
Mbaya zaidi mikutano yake watu hawajitokezi kabisa hali imepelekea kutumia helicopter walau watu wakaizunguke kuishangaa.
Lissu na Mbowe? Amani kweli ipo
Mbaya zaidi mikutano yake watu hawajitokezi kabisa hali imepelekea kutumia helicopter walau watu wakaizunguke kuishangaa.
Lissu na Mbowe? Amani kweli ipo