Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 663
- 1,046
[emoji23][emoji23][emoji23] weee usalama wamehakikishiwa?Ukimya wako kwenye mambo ya Taifa na Kimataifa?
Umelipwa Madai yako ya Ubunge, lakini bado hatuoni zile kauli za kuwa "Sasa narudi nyumbani"
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi alitoa kauli rasmi Bungeni kuwahakikishia usalama wenu, bado kimya kuhusu kurudi nyumbani
Rudini tujenge Nchi, Mwenyekiti wenu kashasema Sasa tunafanya Siasa za kujenga na Rais wetu Samia Suluhu Hassan
Nyie endeleeni kugombania jezi huko maana ndio kitu muhimu katika maisha yenu.Mbwa alisharushiwa kipande cha steki, kelele zimekwisha
Tunaposema wapinzani wa Tanzania ni wachumia tumbo muwe mnaelewaUkimya wako kwenye mambo ya Taifa na Kimataifa?
Umelipwa Madai yako ya Ubunge, lakini bado hatuoni zile kauli za kuwa "Sasa narudi nyumbani"
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi alitoa kauli rasmi Bungeni kuwahakikishia usalama wenu, bado kimya kuhusu kurudi nyumbani
Rudini tujenge Nchi, Mwenyekiti wenu kashasema Sasa tunafanya Siasa za kujenga na Rais wetu Samia Suluhu Hassan
Muacheni lissuUkimya wako kwenye mambo ya Taifa na Kimataifa?
Umelipwa Madai yako ya Ubunge, lakini bado hatuoni zile kauli za kuwa "Sasa narudi nyumbani"
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi alitoa kauli rasmi Bungeni kuwahakikishia usalama wenu, bado kimya kuhusu kurudi nyumbani
Rudini tujenge Nchi, Mwenyekiti wenu kashasema Sasa tunafanya Siasa za kujenga na Rais wetu Samia Suluhu Hassan
Atarudi punde mhalifu aliyetaka kutoa uhai wake akiwa nyuma ya nondoUkimya wako kwenye mambo ya Taifa na Kimataifa?
Umelipwa Madai yako ya Ubunge, lakini bado hatuoni zile kauli za kuwa "Sasa narudi nyumbani"
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi alitoa kauli rasmi Bungeni kuwahakikishia usalama wenu, bado kimya kuhusu kurudi nyumbani
Rudini tujenge Nchi, Mwenyekiti wenu kashasema Sasa tunafanya Siasa za kujenga na Rais wetu Samia Suluhu Hassan
Ulipanga akishalipwa umuone akukopeshe?Ukimya wako kwenye mambo ya Taifa na Kimataifa?
Umelipwa Madai yako ya Ubunge, lakini bado hatuoni zile kauli za kuwa "Sasa narudi nyumbani"
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi alitoa kauli rasmi Bungeni kuwahakikishia usalama wenu, bado kimya kuhusu kurudi nyumbani
Rudini tujenge Nchi, Mwenyekiti wenu kashasema Sasa tunafanya Siasa za kujenga na Rais wetu Samia Suluhu Hassan
Akirudi mafuta yatashuka bei?Ukimya wako kwenye mambo ya Taifa na Kimataifa?
Umelipwa Madai yako ya Ubunge, lakini bado hatuoni zile kauli za kuwa "Sasa narudi nyumbani"
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi alitoa kauli rasmi Bungeni kuwahakikishia usalama wenu, bado kimya kuhusu kurudi nyumbani
Rudini tujenge Nchi, Mwenyekiti wenu kashasema Sasa tunafanya Siasa za kujenga na Rais wetu Samia Suluhu Hassan
Wachumia tumbo vipi tena? Wakiwepo hamtaki kuwasikiliza na mnawafungulia kesi za uongo na kujaribu kuwaua au kuwaua kabisa. Wakinyamaza mnalalamika eti hali ngumu na wao hawawasemei!Tunaposema wapinzani wa Tanzania ni wachumia tumbo muwe mnaelewa
Mnakosea sana, wanasiasa wanagombea madaraka sababu ya power sio pesa!! Hivi Lissu angetaka pesa si ataendelea na legal consultation zake Au kina Mdee mpaka anatafutiwa kazi nje ya nchi anagomea!! Or Gwajima unadhani pesa ndio inawaepeleka mjengoni?Maisha ya ughaibuni ni mazuri zaidi ya Tanzania kwa sasa, naamini watakuwa wanajiuliza warudi nyumbani kufanya nini?
Huko walipo watakuwa na namna ya kujiingizia kipato, kama huku nyumbani hawakuacha biashara ya maana walikuwa wanategemea siasa pekee, na ubunge ndio ule waliporwa na Magufuli, sishangai kwa nini hawarudi.
Kile walichofanya wale wanawake 19 kulazimisha kwenda bungeni kimeniachia somo kubwa sana kwa hizi siasa zetu.