MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,824
- 4,384
Atoke Ubelgiji kuja Tanzania kuwatetea mijitu isiyojitambua wala kutambua haki zao kama wewe? Never! Kila MTU apambane na hali yake
Acha mambo Yako,huja zitaisha punde akiezesha kupatikana katiba mpya Ile ya uratibu wa jaji warioba na tume huru ya uchaguzi na kuachana na Ile tume ya uchaguzi🤔Kanuni ya msingi
USIONGEE WAKATI WA KULA, UTAPALIWA.
After all, Rais Samia anachapa kazi kwelikweli kiasi hata hoja za kuzizungumzia zimepungua au kwisha kabisa.