Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 662
- 1,041
Ukimya wako kwenye mambo ya Taifa na Kimataifa?
Umelipwa Madai yako ya Ubunge, lakini bado hatuoni zile kauli za kuwa "Sasa narudi nyumbani"
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi alitoa kauli rasmi Bungeni kuwahakikishia usalama wenu, bado kimya kuhusu kurudi nyumbani
Rudini tujenge Nchi, Mwenyekiti wenu kashasema Sasa tunafanya Siasa za kujenga na Rais wetu Samia Suluhu Hassan