Kulikoni South Africa, hizo fujo hadi lini?

Kiahjr

Member
Jul 27, 2013
75
85
Machafuko bado yanaendelea huko South Africa hususani maeneo ya Pretoria vijana wa kisouth wanajimobilize kutoka Mamilodi, Shoshanguve na maeneo mengine kuizunguka Pretoria kuandaa shambulio sunny side usiku wa leo.

Hali si shwari kwa kweli.
 
Several Nigerian business and buildings housing Nigerian business were burnt down in a new wave of Xenophobia in Pretoria over the weekend. Several businesses and homes belonging to Nigerians were looted and properties stolen. If you are nigerian in SA, make sure you walk around in groups to avoid being attacked by south africans.
source:the sowetan
 
Serikali ya kisouth inawa-sapoti ndio maana mambo yanaendelea.

Inashangaa kuona Polisi wakishindwa kuzuia haya mambo miaka yote yanapotokea.
Kweli kabisa kuna video ila nimeshindwa kuipandisha wanigeria wanalalamika sana wengne washaondoka kuelekea j'berg
 
Bila ya kupepesa macho ni kuwa Wanigeria wanaiharibu nchi....hakuna wanacho kifanya huko zaidi ya kuuza madawa na kuandaa madanguro....na kila aina ya uchafu.....huku wakiwatusi wazawa.....ni mambo ambayo huwezi kuyaelewa mpaka uwe mhusika mkuu wa kadhia hiyo......

NB; Siungi mkono hatua waliyoichukua wazawa.....
 
Several Nigerian business and buildings housing Nigerian business were burnt down in a new wave of Xenophobia in Pretoria over the weekend. Several businesses and homes belonging to Nigerians were looted and properties stolen. If you are nigerian in SA, make sure you walk around in groups to avoid being attacked by south africans.
Not nigerian only even tanZanian
 
Machafuko bado yanaendelea huko South Africa hususani maeneo ya Pretoria vijana wa kisouth wanajimobilize kutoka Mamilodi, Shoshanguve na maeneo mengine kuizunguka Pretoria kuandaa shambulio sunny side usiku wa leo.

Hali si shwari kwa kweli.
Kila mtu afanye kazi na biashara nchini kwake, ndiyo tatizo litaisha.
 
Bila ya kupepesa macho ni kuwa Wanigeria wanaiharibu nchi....hakuna wanacho kifanya huko zaidi ya kuuza madawa na kuandaa madanguro....na kila aina ya uchafu.....huku wakiwatusi wazawa.....ni mambo ambayo huwezi kuyaelewa mpaka uwe mhusika mkuu wa kadhia hiyo......

NB; Siungi mkono hatua waliyoichukua wazawa.....
Na watanzania,wazimbabwe,waganda na mataifa mengineo wote wauza madawa ya kulevya?
 
Back
Top Bottom