Kulikoni picha ya Raisi JMT?

Kulikoni picha ya Raisi JMT?

Raisi aliyeshinda kwa dhuluma huyo ndo maana unaona kimya .mimi ofisini kwangu nimeweka picha ya Edward Lowasa.

Safi kamanda, endeleza UPVMBAVU wako ukiotukuka!
Ukimaliza, ZUNGUSHA! ZUNGUSHA! ZUNGUSHA!
 
Kwenye hela tuna picha ya Nyerere na winyi mpaka leo.

Ushalalamika nako?

Kuna sehemu sheria inalazimisha picha ya rais wa sasa kuwekwa ukutani? Aau ni utamaduni tu?

Kama kuna sheria, iweke hapa tuijadili.

Kama ni utamaduni tu, rais anaweza kukataa picha yake isiwekwe ukutani kama Mkapa alivyokataa picha yake isiwe kwenye noti, na nchi ikaendelea kama kawaida.

There are issues and non issues, we have so many issues right now, we can hardly afford to talk about non issues.
 
Raisi aliyeshinda kwa dhuluma huyo ndo maana unaona kimya .mimi ofisini kwangu nimeweka picha ya Edward Lowasa.

Kutojitambua nalo ni jipu lingine linahitaji kutumbuliwa.
Yani mpaka leo kuna watu wanaamini JPM hakushinda kihalali! Poleni sana haters.
Mnazilazimisha nafsi zenu kutokubali ushindi na jitihada zake kulikomboa taifa letu.
 
huwa hamsikilizi vyombo vya habari, alizikataa mpka amri nyingine itakapotolewa
 
Back
Top Bottom