Kulikoni ndoa za siku hizi?

Mwanzo, mapenzi motomoto, mtaitana honey, baby na majina yote matamu, hatua ya pili ni kuheshimiana na hatua ya mwisho kuvumiliana. Halafu zamani wanawake walikuwa wanaolewa ili kutengeneza familia. Sasa hivi hilo halipo, wanaolewa kuondoa nuksi asije itwa Malaya, Alisha to a mkosi huo hanahaja na mwanaume kwani kama kulea watoto hilo wanaliweza. KUNAHAJA GANI YA KUFUGA NG'OMBE WAKATI UNAUWEZO WA KUNUNUA MAZIWA KILA SIKU? AU PALE UNAPO YAHITAJI MAZIWA UNAYAPATA KWA URAHISI? TECHNOLOJIA IMEWASHINDA WANAWAKE, UKIOMBA NAMBA YAKE NA AKATOA JUA AMELIWAAAAAA.
 

mmmmhhh wana roho ngumu aisee ulale kivyako nyumba hiyo hiyo ntajitahidi wwek tu then natia timu hukihuko uliko weee tusitaniane kwetu hamna ugali?
 
Utandawazi, mitandao ya kijamii na kumsahau Mwenyezi Mungu ni sababu kubwa sana ya kuharibika kwa Ndoa za siku hizi
 
Unatisha, kwakuwa akina mama hubeba mimba na kulea basi kwa msimamo huu single mama ndiyo suruhisho. Mtatoa sana mimba na familia hazitawahi kuwepo hapo kesho napita tu
 
Tatizo kubwa la kuvunjika ndoa siku hizi ni hizi smartphones zaman kulikua hakuna mambo haya
 
Hahahahaaaaa, kuna kale kamsemo, hata chura anapenda maji lakini siyo ya moto
 
Unatisha, kwakuwa akina mama hubeba mimba na kulea basi kwa msimamo huu single mama ndiyo suruhisho. Mtatoa sana mimba na familia hazitawahi kuwepo hapo kesho napita tu
embu jiamini bro, mwanaume kujiamnini.

Kwanini niwe single mother, hunioni me wife material kabisa. Unajua barua ngapi zilipelekwa nyumbani? 😀

Najua umekuzwa KUMDHARAU mwanamke la sivyo usingenipinga. Itabidi uanze kujifunza kuheshimu wanawake, especially mkeo.

Ukimuheshimu MTU utaogopa kumfanyia USHENZI. Utaogopa wakati una subiri maamuzi yake baadae ya USHENZI wako na utakuwa MDOGO.

MTU anayekufanyia USHENZI ni MTU ANAYEKUDHARAU.

DHARAU zinazidi pale anapotegemea wewe uliyekosewa ndo uwe mdogo na kubeba burden ya makosa yake.

DHARAU ZAIDI ni pale MSHENZI huyu anapolalamika na kupinga hata WAZO la kufanyiwa USHENZI ule ule.

Ndomana Africa haiendelei, watu wanatafuta tu njia za kuendelea kutawala wenzao badala kutafuta njia za maendeleo. Eti unanitishia u single mother.

Halafu ona mwanaume ana access na JF na hajui kuhusu UZAZI WA MPANGO. ETI ndo kiongozi wa familia. hatuendelei Leo wala kesho.
 
Daaaah too sad[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
lol duh

sasa mapenzi watoe wapi??

au ndo wale una mwenzi wa kulea naye watoto ambaye ndo unaishi naye na mwenzi mwingine huko nje wa kuufurahisha moyo??
Maana yangu ni hii. Usiingie kwenye ndoa kwa kufikiri utapata mapenzi huko tu ila ingia kwasababu unataka kujenga familia bona ukifanya hayo mapenzi yatakuwepo automatically mfano ukifika unafanya majukumu yako yote kwa mume/mke na watoto ili familia iwe bora na nzuri lazima huyo mume na hao watoto watakupenda na kukuheshimu
 
Naona kama unacheza na maneno tu. Mara usiingie ukitegemea kupata mapenzi tu Mara ukifanya hivi utapata mapenzi automatically.

Halafu na kwa comment zako za "kutoshindana na mwanaume ili familia iwe imara" ni kama umeshakubaliana na hali ya mwenzi asiye muamimifu, halafu hapo hapo unaniambia mke akifanya "majukumu" yake ataheshimiwa na kupendwa.

Inawezekana tuna definition tofauti za heshima na upendo.

Kuwa mzazi haindoi hitaji la kuwa na mpenzi. Ndo kwanza itabidi MTU ajitahidi kuplay role zote za mzazi na mpenzi wa MTU.

Hadi watoto wakikua nao watamani kuwa na couple kama baba na mama.

MTU anaye Downplay role ya mpenzi kisa watoto naona kama yalishamchujia kabaki kushikilia hilo alilo nalo tu la mzazi secretly hoping for a better love life.

Of course kila MTU anakuwa na expectations zake kwa mwenzake, na mwenzake asipo deliver inakuwa disappointing na penzi linaweza kuchuja.

Lakini kama mapenzi hamna, watu wabinafsi wasiojiheshimu wala kufanya effort kulirudisha waenda kukitembeza huko, mke unabaki kuwa house keeper, hata sidanganyiki.

Hata sio ndoa hii ni taasisi ya kukuza binadamu wachanga ambao nao watakuja kuadapt na kuendeleza this SAD PATHETIC lifestyle. Yale Yale marriage is a hypocritical institution.

HII HAIAPPLY KWA WATU WASIO NA TATIZO NA UKE WENZA.

People just want to be happy these days.

kama vipi couple ikubali kuwa in an open relatioship au waachane kila mtu atafute furaha yake sio mmoja kumuonea mwenzie (including any form of abuse.)

Na generation zitakazofuata watazoea hii lifestyle.

Children just need love and attention from their HAPPY parents whether living together or not.
 
Ni wasomi lakini nadhani hawajui madhara ya kugombana mbele ya watoto. Laiti wangejua na wangekuwa wanawajali hao watoto wasingefanya hivyo.
 
Pole mpenzi..maisha ya ndoa hayana mwenyewe....wanayoyafurahia ni wachache kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…