Kulikoni ndoa za siku hizi?

Kwani idadi ya watu IPO sawa na ya zamani? Na ndoa ni wewe usiige mbona kila siku watu wanaowana ? kama bado unaangalia watu ktka maisha yako bado hujaiva kwenye ndoaa
 
Wewe ni mke mwema kwa maneno yako,omba mungu akupe mume mwema.
 
Yaani hizi ndoa! Tatizo ni kutokujielewa tu na kutambua kwanini unaingia kwenye ndoa. Kikubwa zaidi hofu ya Mungu hakuna.

Kuna boya mmoja anataka kumuacha mke wake eti kisa hajasoma, sasa nikajiuliza wakati anaoa huyo mke alikuwa kasoma ila sasa ndio hana elimu!!
 
Si ampeleke shule tu
 
Ni hizi ndoa kuanzia 2010 ndio zinaongoza kuparaganyika
Bro kwa ufupi wengi tunapenda kwaito nazawadi tutakazo pewa siku ya harusi na kuwatambia marafiki kuwa nawewe una mke/mume basi,Haya mambo yapo mjini sana.
 
Ni bora kujiishia pekeako tu huu ujinga hata mie nauona unamnyenyekea mke mke anakuona bwege unamkuta anatongozana.na vitoto vya chuo tena vya field... sijazaa wala nn bora.achape lapa bora pekeangu
 
Haina maaana hujadanganywa achana nayo
 
ukiingia katika ndoa na mawazo kama haya is kiingia tu haitadumu.
 
Ni bora kujiishia pekeako tu huu ujinga hata mie nauona unamnyenyekea mke mke anakuona bwege unamkuta anatongozana.na vitoto vya chuo tena vya field... sijazaa wala nn bora.achape lapa bora pekeangu
Pole mkuu
 
guys...stay single..enjoy your life and protect what you are working for kila siku.....

once again...Baki peke yako..hakuja tatizo wala shida yoyote...have friends..go to places ..ndoa sio mahali salama tena miaka hii na ijayo
 
Mie ni victim wa hvyo vitu!daah!acha tu!

Nilipenda,niliheshimu,ndugu walinipenda nilijishusha nilipambana!

Nilikua nampa kila anachokitaka kwa muda muafaka!!

Mwisho akaniambia hanihitaji akiulizwa sababu anasema basi tu nimemchoka!hana hata ubaya Ila mie sasa hivi sitaki mke!

Mungu ananiona simsingizii hata angekuepo hapa!

Mwisho nakuja Dar kuuguza narudi nakuta replacement ndani!

Nikageuza kwetu sijarudi tena nmna niliacha kila kitu!

Naanza upyaaa maisha moja kabisa!

Ndoa kwa sasa hapana kwa kweli badoooo!!!

Wacha waoane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…