Kulikoni Mzee kaenda mwenyewe bila Mama Bondeni?

Hakuna watu wenye matatizo ya Kisaikolojia Tanzania kama watu wanaojifanya wana akili na busara

Sie Wajinga wajinga tusio na busara tunaishi Raha bin mustareh

Ukikuta watu wanakimbia nawe kimbia, sababu ya kukimbia utauliza mkimaliza mbio

I agree.. :D :D :D :D :D :D :D đź‘Ť
 
Ubepari wa Ndoa!! Mama Salma kila angle, alikua na Jk!!
Jiwe hamkubali mke wake; angekua ni jokate (nimechukulia mfano); angeenda naye!! Mke ni heshima
 
Ndugu,
Hivi umendika nini kisichoeleweka. halafu nimeona LIKES. Sijui umejipa mwenyewe kwa ID tofauti?

katika watu ambao ukukatana nao duniani hapa wanaongea kiswahili kimbia kama ebola.yani mtu mswahili sio mtu mzuri yeye ni kasoro.hata hapa south africa hatuna sehemu kuwa hapa ndio ilikuwa watanzania au makazi ya tanzania ni kukunjiana,majungu,wivu,fitina,uchawi na kukosoana.wageni wote waliofika hapa south wana miji yao hata duniani sizani kama watanzania wana miji yao zaidi ya tanzania
 
Unaota ndoto za mchana(day dreaming and wishful thinking) huyo ni Rais mpaka 2025 na kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama mpaka 2030 ili aweze kusimamia serikali vizuri!
Kumbe mengi yana kutafuna nilijua ni moja tu la njaa yako
 
Unaota ndoto za mchana(day dreaming and wishful thinking) huyo ni Rais mpaka 2025 na kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama mpaka 2030 ili aweze kusimamia serikali vizuri!
he is a one term president whether you like it or not . Na mama Samiha makamu wake hivi karibuni bfo this year ends atakuwa Rais kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi kwa mujibu wa katiba.
 
Halafu mleta uzi kuwa makini na mawazo yako, kwani umeambiwa kuwa bondeni kumekuwa Pataya!
 
First lady wetu hana makuu,ni mtulivu na upole tabia yake,wako happily married.
 
Si yupo na JK! basi huko ni bata mwanzo mwenga.... halafu mkuu pitia pale key-sir-la-we uone kama yule mh. yupo. Vingine ni vya kuji addup tuu.
 
Acheni maneno maneno bwana, muacheni mzee wetu alirelax kidogo. Yuko na Mzee wa Msoga hakuna kinachoharibika pale naamini.

Mkuu ni kweli lakini mzee wa Msoga sio mke wa jiwe. Bado umuhimu wa mke uko palepale hata kama JK ndio msoma ramani wake.
 
Kama mkeo yupo nyumbani wewe una wasiwasi gani sasa.

Mkeo yupo nyumbani!? Halafu house boy akipandisha bendera unapata pressure unafukuza mke. Ujue mke hajaolewa na nyumba, maana hata huko kwao nyumba ipo.
 
Back
Top Bottom