Kulikoni Matawi Ya CCM Huko Majuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni Matawi Ya CCM Huko Majuu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mkereketwa_Huyu, May 29, 2012.

 1. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,118
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280
  Huku bongo tunaona kwenye mablogu jinsi chadema ilivyoteka marekani kwenye huu mkutano wao ujulikanao kama M4C. Kabla ya hapa siku za nyuma kulikuwa na kamcheo ka kijinga kwa watanzania kufungua matawi ya CCM huko majuu na tukawa pia tunaona kila kukicha kwenye mablogu. Ingawa funguzi za matawi ya CCM zilishamiri lakini hazikuwa na watu kama tuonavyo kwenye hii ya chadema na M4C yao. Je, ndugu zetu huko marekani na sehemu zingine duniani hao wenzenu wa matawi ya CCM wanajisikiaje kuona mnakuja juu hivi? Na je, kuna mgawanyiko wowote ule wa vyama huko? Tunaomba mtujuze, wana CCM wangapi wamechana kadi zao za chama baada ya M4C kuja huko? Duh, kijana Jakaya na wenziwe wana kazi za ziada kunako 2015 labda lile jeneza lioze kiaina before then :israel:
   
Loading...