KULIKONI, leo kulikoni??

KULIKONI, leo kulikoni??

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Posts
6,224
Reaction score
4,186
Sijui wenzangu, lakini mimi leo nimejaribu kupata nakala ya gazeti la KULIKONI kuanzia saa tatu na nusu hadi saa sita na kuanzia Posta mpya hadi kariakoo sikupata nakala yoyote. Niliskia asubuhi wakisoma vichwa vya habari channel 10 kimojawapo kilikuwa jinsi Manji anavyodaiwa, sina hakika kama walisema na benki ama na serikali. Naomba kama kuna aliyeisoma habari hii atuwekee hapa tafadhali.
 
HTML:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/20462-debt-collectors-zero-manji.html
 
...Mkuu Ushirombo asante kwa hiyo thread. Lakini pia ningependa kujua, ina maana gazeti hilo leo limetoka nakala chache ama kuna mtu alipita akizinunua. maana si kawaida ati!
 
Bandugu,
Gazeti hili pendwa halijamaliza kifungo au ndio limezama kama yale mengine ya Alasiri, Family Mirror, Sunday Observer,.....
 
Back
Top Bottom