Muhongo alivyosema Mengi ni dalali Mie nilidhani ni uongoNimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.
Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
TV mfu,Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.
Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
HahaaaaMuhongo alivyosema Mengi ni dalali Mie nilidhani ni uongo
Wanajitambua hao, jipangeni, mnapotea kwenye medani ya siasa nchini mdogomdogoNimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.
Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
Mi nshazoea, ikiisha Isidingo tu Niko JF. Ngoja niweke dishi LA azam nifaidi balanced news!Yaani roho inaniuma mno!! ITV ndiyo imekuwa hovyo namna hii? Na nilivyokuwa naipigia debe!! Basi tu!
Tumeshamchoka aachie Kiti akae mwengine.....Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.
Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
Mzee akinyang'anywa vitalu vyake vya Tanzanite utamsomeshewa wale mapacha wake?Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.
Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
Tajiri yeyote duniani anaangalia maslai yake kwanza..Muhongo alivyosema Mengi ni dalali Mie nilidhani ni uongo
Wewe mwenye mpya au jipya unamiliki nini au babako anamiliki nini hapa Tanzania?Kanunuliwa na ccm hana jipya kawekwa kapuni yeye atangaze festura hana jipya