Kulikoni ITV kutotangaza habari za Simba SC?

c kweli kwamba simba waliwaambia lakini ata kama ni kweli mbona Nipashe wanaandika? kwani ata kama hukiambiwa usiandike kwani we binafsi hujui taaluma yako inataka ufanye nini? kwani simba ni ya mtu mmoja? wakikaa simba kama kikao na kutoa barua apo sawa lakini c kwa porojo porojo tu, waandishi wa ITV hawana maana..
 
Linapokuja swala la uongozi huitaji wanachama wote wawe wasemaji. Kiongozo mmoja aliyechaguliwa kwa kufuata katiba husika, akisema basi wote wamesema. Kaduguda ni kiongozi aliyechaguliwa, kama alisema wasitangaze michezo ya SSC, ni Simba wamesema na si Kaduguda!
 
Hii ilianza wakati viongozi wa Simba walipotaka kuyavunja vifaa vya kurushia matangazo vya ITV uwanja wa uhuru. Simba waliwazuia waandishi kutangaza habari ya simba siku ile na kuanzia hapo ITV hawakujishughulisha tena na Simba. Wamesusa!!!!! Nadhani uongozi wa TFF inabidi kufanyia kazi hili ili timu zetu zipate kuonekana zikicheza na umma uhabarishwe vizuri.
kabla ujawalaumu viongozi wa simba kukataa itv wasionesha mechi yao live kisa mapato yatakuwa madogo uwanjani,umejiuliza kama itv walilipa timu hela zozote hili kuonesha mechi hio live?

kama itv walikuwa wanataka kuonesha mechi hio bila malipo yoyote kwa timu mbili zinazocheza basi ni kosa kubwa.kama tff iliwaruhusu itv kuonesha mechi live bila malipo yoyote ni kosa.

kituo cha tv kikitaka kuonesha mechi lazima walipe hela kwa tff kwani wao (itv) watapa hela kupitia matangazo ya biashara wakati wa mechi hio na sponsors wengine.TFF ndio watawapa pesa timu na wao watabaki na fungu lingine.

kama itv wangelipa kutaka kuonesha mechi hio na timu husika siku hio nao wangepewa hela kutokana na itv kuonesha mechi live basu viongozi wa simba wasinge kataa mechi kuoneshwa live kisa watu watakuwa wachache kutizama mechi na mapato kuwa madogo.wasingekataa kwa vile washalipwa fidia ya kuonesha mechi hio.

kama itv walilipa hio hela na viongozi wa simba waliambiwa watapewa hela basi hapo ndio unaweza kuwalaumu viongozi wa simba.kama pesa walipewa TFF na wao hawakuapa timu husika mafungu yao basi hapo lawama ni za TFF.
 
Nimeshangazwa na kitendo cha ITV kutotangaza michezo ya Simba SC hata kwa tukio kubwa kama la kutwaa ubingwa wa Vodacom Premier League. Nimeambiwa eti wamewanunia viongozi wa Simba kwa sababu waliwakatalia kurusha 'live' moja ya mechi zao. Kwa maoni yangu huo sio uamuzi sahihi. Ni 'very unprofessional', inabidi ITV wajirudi kabla ya kupoteza umaarufu. Watambue kwamba Simba ni klabu kubwa na ina wapenzi wengi ndani na nje ya nchi. Great Thinkers wengine mnalionaje hili?
aliyefanya uamuzi huu wa kipuuzi angekuwa karibu yangu ningemzaba vibao vitatu vya haraka...
 
Nimeshangazwa na kitendo cha ITV kutotangaza michezo ya Simba SC hata kwa tukio kubwa kama la kutwaa ubingwa wa Vodacom Premier League. Nimeambiwa eti wamewanunia viongozi wa Simba kwa sababu waliwakatalia kurusha 'live' moja ya mechi zao. Kwa maoni yangu huo sio uamuzi sahihi. Ni 'very unprofessional', inabidi ITV wajirudi kabla ya kupoteza umaarufu. Watambue kwamba Simba ni klabu kubwa na ina wapenzi wengi ndani na nje ya nchi. Great Thinkers wengine mnalionaje hili?

hicho ni chombo cha mtu binafsi na ni chombo cha kibiashara, kama uwalikufata ufanye nao biashara ukaktaa sasa iweje wao wakikataa kurusha habari zako iwe nongwa,

Ukiangalia channel 10, hawasomi kabisa magazeti ya IPP, mbona hilo nalo hujalilalamikia? kuna kipindi hata TBC1 walikuwa hawasomi magazeti ya IPP sijuhi siku hizi lakini pia ulikuwa kimya

tubadilike hiyo ni mali ya mtu binafsi na ndio siasa na aina ya uchumi tuliyoichagua hiyo
 
2 wrongs doesn't make right...
 
Samahani mkuu, kama umesoma thread vizuri hakuna malalamiko hapo. Usipotoshe! Ni suala la kujadili tu. Mwanzisha thread alitaka kufahamu kulikoni ITV hawarushi habari zinazohusu Simba SC? Wengi wamechangia vizuri, ila wewe ndio unaleta malalamiko.
 
Bora TBC walitupa mpango mzima mpaka jinsi polisi walivyomnusuru Sheikh Yahaya kutoka kwa wananchi wenye hasira waliozingira nyumba yake kwa kubashiri uongo kuwa Simba ingefungwa na Azam. Japo kwa Waziri Mkuchika nako "the revolution will not be televised."
Hee! mbashiri huko ndiko alikokosea.Kaingia choo cha kike! hayo mautabiri yake apeleke CCM huko ndio wanaishi kwa kutegemea NJOZI. Kumtishia nyau Mnyama ni kosa na kama sio Polisi wangemgalagaza, arudie tena mautabiriyake yasiyo na mpango aone
 
Samahani mkuu, kama umesoma thread vizuri hakuna malalamiko hapo. Usipotoshe! Ni suala la kujadili tu. Mwanzisha thread alitaka kufahamu kulikoni ITV hawarushi habari zinazohusu Simba SC? Wengi wamechangia vizuri, ila wewe ndio unaleta malalamiko.

kama sio malaalamiko ninini, kwa hiyo unaanzisha thread ili wote tuwe upande mmoja?

kwangu mimi hayo ni malalamiko

hiyo ITV ni mali ya mtu binafsi na kuna sensitive issue ambazo ungeweza kuhoji, lakini sio habari za Simba
 
ITV itabidi wawaombe radhi watanzania kwa upuuzi wanaofanya, ......
Yaani wao hawajui kuwa ni hasara kwao kuliko wa mashabiki wa simba!! nani anawashauri na wanafikiaje uamuzi huu wa kijinga?
 
wa kuisema hasara si wewe, huwezi kuwasemea hasara ITV, na hawana Haja ya kuwaomba msamaha washabiki wasimba, HIYO NI MALI YA MTU BINAFSI, NA HANA MKATABA WOWOTE NA SIMBA, simba wana mkataba na TBL na VODACOM

hii issue ni sawa na ile ya TFF na Dstv na GTV, TFF waliwakatalia Dstv na wakaingia mkataba na GTV, kwa hiyo Dstv wakikataa kuonyesha matokeo ya Tanzania Premier league wana haki hiyo na ni kweli wao wapo na Kenya Premier League kwa sababu wanamkataba nao, HIYO NI MALI YA MTU BINAFSI

MBONA TUNAKUWA WAGUMU KUKUBALI MABADILIKO,
INGEKUWA TBC1 WAMEKATAA KURUSHA HABARI ZA SIMBA HAPO INGEKUWA ISSUE HIYO NI MALI YETU WOTE
 
Media bongo ni balaa, kwa ukweli wabongo wote wanatakiwa kujifunza kanuni moja ya kiuhasibu inaitwa "business entity" Biashara ni biashara na owner ni owner. Kama hii ikizingatiwa utaona hakuna kuchanganya, ITV as separate entity haiwezi kuwa na bifu na simba, yanga au RA

Sio mara ya kwanza media kugomea mtu au taasisi kama clouds na Sugu, Ni wakati wa Simba na wapenzi wao kugomea ITV ili kuwatia adabu kidogo.
 
ITV itabidi wawaombe radhi watanzania kwa upuuzi wanaofanya, ......
Yaani wao hawajui kuwa ni hasara kwao kuliko wa mashabiki wa simba!! nani anawashauri na wanafikiaje uamuzi huu wa kijinga?

Sisi mashabiki wa Yanga tutafidia hasara kama wakideclare kuipata!
 
wa kuisema hasara si wewe, huwezi kuwasemea hasara ITV, na hawana Haja ya kuwaomba msamaha washabiki wasimba, HIYO NI MALI YA MTU BINAFSI, NA HANA MKATABA WOWOTE NA SIMBA, simba wana mkataba na TBL na VODACOM

hii issue ni sawa na ile ya TFF na Dstv na GTV, TFF waliwakatalia Dstv na wakaingia mkataba na GTV, kwa hiyo Dstv wakikataa kuonyesha matokeo ya Tanzania Premier league wana haki hiyo na ni kweli wao wapo na Kenya Premier League kwa sababu wanamkataba nao, HIYO NI MALI YA MTU BINAFSI

MBONA TUNAKUWA WAGUMU KUKUBALI MABADILIKO,
INGEKUWA TBC1 WAMEKATAA KURUSHA HABARI ZA SIMBA HAPO INGEKUWA ISSUE HIYO NI MALI YETU WOTE

Baba vipi!!?? hizo ni hasira au jazba!? Yaani TV ambayo habari zake za michezo haziangaliwi (zimesusiwa) na mashabiki wa klabu kubwa hivi wewe unaona si hasara!! au lisisemwe! aa bwana hilo ni jambo kubwa ndio maana tunalijadili hapa.
 
Kituko,

Kwani ITV imekuwa mali ya mtu binafsi leo? Mbona siku za nyuma walikuwa wanaonyesha matokeo ya mechi zote za Simba, hata kwa highlight tu?

Tatizo la wenye vibiashara hivi Tanzania, wamejifanya kuwa ni Miungu watu, yaani wasiguswe na wala wasiambiwe ukweli.

Walipotaka kurusha mechi ya Simba, walikatazwa na kuambiwa, hatuna mkataba. Walipotaka kung'ang'ania, wakawatisha. Sasa wamenuna!
Very childish move, as it gives room for their competitor's to take charge. Who is losing now?
C'mon ITV, do you really have a serious marketing team?. Simba hawapotezi kiasi kikubwa kama mnavyopoteza ninyi kwa kutotangaza mechi zao.

One big question, watakapo cheza na Yanga, hawatatangaza???
 
uko sahihi sana, lakini kuna point moja ya muhimu unayomisi, Huyo mwenye kuindesha ITV anajua yeye Faida na Hasara anapatia wapi, kama kwa kutotangaza habari za simba kwakwe sio tatizo na wala hapati hasara basi ni yeye

naomba uelewe hivi, Dunia sasa imebadilika na uchumi tunaoenda nao ni wa mwenye nguvu na mwenye uwezo, narudia tena ITV ni MALI YA MWENYE NGUVU na yupo hapo kwa maslahi yake na wala sio wapenzi wa simba au whatever, kama alishawapropose simba kwa biashara na wakakataa iweje hawarushe hewani bure? wewe huwezi kuona hiyo itakula kwake,
 
Kituko,

Kwani ITV imekuwa mali ya mtu binafsi leo? Mbona siku za nyuma walikuwa wanaonyesha matokeo ya mechi zote za Simba, hata kwa highlight tu?

Tatizo la wenye vibiashara hivi Tanzania, wamejifanya kuwa ni Miungu watu, yaani wasiguswe na wala wasiambiwe ukweli.

Walipotaka kurusha mechi ya Simba, walikatazwa na kuambiwa, hatuna mkataba. Walipotaka kung'ang'ania, wakawatisha. Sasa wamenuna!
Very childish move, as it gives room for their competitor's to take charge. Who is losing now?
C'mon ITV, do you really have a serious marketing team?. Simba hawapotezi kiasi kikubwa kama mnavyopoteza ninyi kwa kutotangaza mechi zao.

One big question, watakapo cheza na Yanga, hawatatangaza???

sasa hapo kwenye nyekundu! kama simba walikataa, mbona ITV hawakulalalmika, na Simba wakawaambia sisi hatuna mkataba na nyie, kwa sababu simba walikuwa kibiashara zaidi, sasa iweje ITV wakiwakatalia simba kuwarusha hewani kwa same sababu ya kibiashara iwe nongwa?

kama simba waliweza kufungua gazeti basi wajitahidi na kuweka TV yao, HIZO TIMU ZA SIMBA NA YANGA NI TAJIRI MNO, TATIZO HAWATAKI KUBADILIKA KAMA BADHI YA WATU WA HUMU NDANI
 
Nimeshangazwa na kitendo cha ITV kutotangaza michezo ya Simba SC hata kwa tukio kubwa kama la kutwaa ubingwa wa Vodacom Premier League. Nimeambiwa eti wamewanunia viongozi wa Simba kwa sababu waliwakatalia kurusha 'live' moja ya mechi zao. Kwa maoni yangu huo sio uamuzi sahihi. Ni 'very unprofessional', inabidi ITV wajirudi kabla ya kupoteza umaarufu. Watambue kwamba Simba ni klabu kubwa na ina wapenzi wengi ndani na nje ya nchi. Great Thinkers wengine mnalionaje hili?

Jana niliangalia taarifa ya habari ITV, lead story ilikuwa mechi ya IPP na time gani sijui kwenye kombe la NSSF, wakarusha ligi ya zanzibar na kumalizia na mechi ya Manchester. Nilishangazwa sana na kujiuliza kulikoni? Asubuhi wana kipindi kinaitwa kuchambua vichwa vya habari magazetini, ajabu ni kuwa pamoja na kuwa ubingwa wa Simba ulikuwa all over the papers hawakugusia kabisa kuhusu simba.

Nadhani kwa leo wasingekiita kipindi hicho kupitia vichwa vya habari wakati unaacha lead story ya kwenye sports, what a thrash, what a shame ITV.

Kama waligombana kuhusu kurusha mechi live, Simba au timu nyingine yoyote for that matter ilikuwa na haki kukataa, ukionesha mechi live watu wanapungua kuingia uwanjani as a result of which mapato nayo yanapungua. Mechi hizo zinakuwa na wadhamini ambao wanilipa ITV wakati timu hazipati kitu.

Badala ya kuwagomea kuwatangaza, busara ingehitaji ITV na timu za ligi wakae na kuona ni jinsi gani wanaweza kutangaza mechi za ligi ili kuleta faida kwa timu za ligi pamoja na kituo na sio kuigomea timu.
 
Back
Top Bottom