Kulikoni hadi sasa ITV hakuna habari?

Kulikoni hadi sasa ITV hakuna habari?

Nipo naagalia ITV kama kawaida yangu ili niweze kupata habari ,ajabu hadi sasa ni dakika ya 14 hakuna habari bali ni matangazo tu na hakuna tangazo la kucheleweshwa kwa habari .
Je! Kulikoni? Au leo hakuna habari
Kuna habari tunaiweka sawa asanteni kwa uvumilivu
 
sema habari zao za michezo kwenye mchezo wa kujishindia fedha na jezi wabadirishe jezi zile za timu za ndani tu ili kuikuza mambo ya timu za nje kuhusishwa hapana
 
Nipo naagalia ITV kama kawaida yangu ili niweze kupata habari ,ajabu hadi sasa ni dakika ya 14 hakuna habari bali ni matangazo tu na hakuna tangazo la kucheleweshwa kwa habari .
Je! Kulikoni? Au leo hakuna habari
Jenereta haina mafuta ujue na Kipara kachukua umeme
 
Back
Top Bottom