Kulikoni geita d.c.

DULLAH B.

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
672
149
halmashauri zingine wamewalipa wasimamizi wa mitihani ya form four walimu na askari. ktk mkoa wa geita baadhi ya halmashauri wamewalipa kama geita mji but geita dc mna matatizo. mtafanya walimu waje wauze mtihani wana matatizo mengi ninyi mwachelewesha malipo yao. embu acheni ukiritimba geita dc mtachangia kulaumiwa na kuanguka ccm.
 
Back
Top Bottom