Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,979
- 14,400
Mutu ya CanadaWatu wa mikoani bwana
Mutu ya CanadaWatu wa mikoani bwana
Mimi husikiliza vipindi vya michezo vya bongo fm,vipindi vingine sisikilizi kabisa,staili yao ya uchambuzi wa vipindi vya michezo inanivutia sanaBongo fm ni TBC ya vijana
Bongo fm imeajiri watangazaji wake wote kwa mikataba na wote wana elimu ya utangazaji na hao wanaotangaza vipindi vya michezo,wengi wao wamecheza mpira wakiwa umitashunta na umiseta.Wanaufahamu mkubwa sana na michezo ndio maana mimi huwafuatilia,baadi yao hivi sada wanasomea ukocha huku wanatangaza,na baadhi yao huuza wachezaji au taarifa kuhusu wachezaji fulani,mfano ukitaka taarifa kuhusu wachezaji kutoka congo muulize mwayombo,mpekeo mtandala,ukitaka taarifa za wachezaji wa kiarabu muulize upete.Hivyo msishangae kwanini mimi huwafuatilia,wako well informed sana.Abdul ghafaar ali chissano ni mtu anayeujua kuucheza mpira haswaaa,angekutilia mkazo kipaji chake,huyu angechezea taifa stars.Utakuta watangazaji hawana mikataba wala mishahara
Na bado unaniuliza maswaki ya kipuuzi..kwani tusisikilize? kwani binadamu wote wana matamanio sawa? Hapa ccm inaingiaje?
Ni dhahiri una ugonjwa kwenye ubongo,bora niachane na weweNa bado unaniuliza maswaki ya kipuuzi..
We endelea kusikiliza
Nimefuatilia hilo sakata kumbe ni kiki kama kiki zingine.Bongo fm imeajiri watangazaji wake wote kwa mikataba na wote wana elimu ya utangazaji na hao wanaotangaza vipindi vya michezo,wengi wao wamecheza mpira wakiwa umitashunta na umiseta.Wanaufahamu mkubwa sana na michezo ndio maana mimi huwafuatilia,baadi yao hivi sada wanasomea ukocha huku wanatangaza,na baadhi yao huuza wachezaji au taarifa kuhusu wachezaji fulani,mfano ukitaka taarifa kuhusu wachezaji kutoka congo muulize mwayombo,mpekeo mtandala,ukitaka taarifa za wachezaji wa kiarabu muulize upete.Hivyo msishangae kwanini mimi huwafuatilia,wako well informed sana.Abdul ghafaar ali chissano ni mtu anayeujua kuucheza mpira haswaaa,angekutilia mkazo kipaji chake,huyu angechezea taifa stars.