fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,739
- 7,446
Ni siku ya 3 leo,vipindi vyote vya michezo havitangazwi, wanapiga miziki tu bila hata kuomba radhi au kutoa taarifa yoyote ile
Vipi kuhusu abdul ghafar ali chissano?,Issa Suleiman?Nira Juma,Emmanuel Mwayombo?,Watangazaji wa michezo wapo wengi sana,hiyo sio sababu.Pili mara nyingi hutangaza mpira kupitia screen za televisheni,hawaendi kila mahali mpira unapochezwaWatangazaj wate wa michezo wapo mikoan kumbuka haohao ndio watangaze mpira hao hao wachambuz
Mfano
Upete yupo mbeya
Nango rehema yupo mbeya
Cheyo lutengano alikuwamkoa
Hvyo MAN POWER n ndogo waambien waajli wafanyakaz wengi
Kwani hawana uongozi? Mgogoro wa watangazaji hauzuii matangazo kuendeleaSi mlisema upete na yule mtangazaji wa kike wana bifu? Labda wamesusiana kutangaza vipindi vya michezo
TV, redio na magazeti havina maana tena dunia ya sasa.Maredio yamepitwa na wakati.
Hayo ni maoni yako lakini sio uhalisiaTV, redio na magazeti havina maana tena dunia ya sasa.
Kaka NIRA JUMA yupo mwanzaVipi kuhusu abdul ghafar ali chissano?,Issa Suleiman?Nira Juma,Emmanuel Mwayombo?,Watangazaji wa michezo wapo wengi sana,hiyo sio sababu.Pili mara nyingi hutangaza mpira kupitia screen za televisheni,hawaendi kila mahali mpira unapochezwa
Hata kutumia fax kwa Tz imepitwa na wakati ila kuna nchi zimeandelea mara 1000 ya Tz bado wana tumia mfumo wa faxMaredio yamepitwa na wakati.
Hebu niambie katika Dunia ya social network, utaenda meza ya magazeti ili ufanye nini?Hayo ni maoni yako lakini sio uhalisia
upete juzi alikuwa kwenye kipindi cha jaramba TBC1, lini kaenda mbeya?Watangazaj wate wa michezo wapo mikoan kumbuka haohao ndio watangaze mpira hao hao wachambuz
Mfano
Upete yupo mbeya
Nango rehema yupo mbeya
Cheyo lutengano alikuwamkoa
Hvyo MAN POWER n ndogo waambien waajli wafanyakaz wengi
yupo lutengano cheyo,yupo lugendo,yupo ngilywile,yupo bagoka,uongozi upo unaweza kupanga ratiba nzuri kila kitu kikaenda,mbona siku za nyuma mipira ilikuwa inachezwa na vipindi vinaenda kama kawaida?Kaka NIRA JUMA yupo mwanza
Mwayombo yupo safarin kuripot mech
Issa suleyman anarud mjin leo
Jua tu wapo wachache
Kumbuka sionwote wana simu zinazoweza kufanya hayo usemayoHebu niambie katika Dunia ya social network, utaenda meza ya magazeti ili ufanye nini?
Yaani ukae kusikiliza dj leo atapiga nyimbo gani redioni wakati una app kama youtube?
Taarifa ya habari uisubiri mpaka saa mbili usiku, tena utangaziwe habari iliyochujwa kwa manufaa ya watu fulani wakati habari hiyo unaweza kuipata kwenye social network muda ule ule inapotokea tena bila kuchujwa.
Ndugu, dunia ilipofikia, TV, redio na magazeti hayana maana
Hata kipindi zinaingia TV flat, wenye machogo walikua wabishi, lakini leo hii ukiwa na chogo watu wanakushangaa.
Swali mjarabuAkina julius mtete, abdulghafali chissano na khalifa mgaya si wangeenda kuchambua michezo hata bila kuwepo kina upete, rehema na wenzao? Walianzisha bongo fm kwa mbwembwe nyingi kuwa watayafikia matarajio ya vijana michezoni, sasa kiko wapi?
watangazaji wapo wengi,ulishamsikia bagoka au ngilwile anatangaza mpira?Kwa mech za lig kuu mara zote watangaZaj huenda kituo husika kuripot mech na kwa mfumo wa lig yetu na jiografia yake kwastan kila siku mech zinachezwa hvyo mech moja inahtaj mchambuz na ripota
Kama kukiwa na mech 3 jua watu 6 hawapo kituon na wwngne watakuwa njian kuenda kuripot mech nyingne hvyo kituo kinakuwa na watu wachache au hakuna kabisa
Ushaur waajil wafanyakaz weng na sio wote lazma watangaze
Kuna wakat had babu yangu MBAZIGWA HASSAN ilibid atangaze mpira