Kulikoni Benard Membe?


Mungu tunambebesha mzigo mkubwa! kwamba Mungu pia kawaandaa akina Musiba wamtukane Membe?
 
Mku usicheze na kukosa pesa kama ulikua umeizoea, hilo ni jambo jingine. Lisikie kwa jirani usitake kuwa moja wa mashaidi

Mtu aliyekosa pesa anaweza kuweka mawakili saba (7) kwenye kesi moja?
 
Vipi kama ukianzia kujikagua wewe labda akili yako dishi limecheza, ni labda tu ili kuwa na uhakika kuwa unaposema jambo basi liwe na 5W-H

 
Umenifanya niwaze mbali sana hiyo 2050 ID nyingi humu Jf Zitakuwa za marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…