Kulikoni Benard Membe?


Ukiwa na ukinai katika mambo yote ujue una baraka kutoka kwa Mola walahi
 
Kwahivyo tujadili swala la uso wa membe kwa ulivyouona wewe?? Huu ujinga kama bangi haijahusika wahi daktari wa akili. Mwanaume ukae unajadili sura ya mume wa mtu kukosa tabasamu na mkewe atajadili nini? Naomba mnipe kazi ya u moderator MTU kama huyu nafuta Uzi na namfungia miaka sita apone kichaa kwanza
 
Kichwa cha habari hakiendani na maelezo yako mkuu.
Umeuliza swali na kujibu mwenyewe.
Ulitakiwa kuelezea ulichokiona na kuachia swali wadau na siyo kutoa conclusion ya ulichokiuliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ramuli Chonganishi hizi
 
Daah umewachamba.....lakini ndio ukweli.
 

I never thought about this...ila kuna ukweli....juzi kati watu wamekamatwa Ilala club ya wazee wanachukua rushwa ya kupangisha frame....ukiwaona wanavyotamba mitaani utafikiri kuna la ukweli. Kumbe magumashi tu
 
hakika umenena,big up,anakufa na kiholo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe atashindwa hii kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…