Kulikoni Benard Membe?

Kulikoni Benard Membe?

wakatanta

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
2,593
Reaction score
3,159
Nimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,

kikawaida Membe ni mchangamfu,mtu wa tabasamu na mara nyingi ni mtu mwenye bashasha wakati wote.

Leo wakati anatoka mahakamani dhidi ya shauri lake na Musiba na wenzake,namuona ni Membe mwingine kabisa,kapungua ,uso wake unaonyesha ndani ya moyo wake kuna kitu kinaumiza nafsi yake,ni kitu gani hicho?,kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?,
kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.

Image is loading...........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana mchango wa maoni ya watu au vikundi tofauti uchangia ustawi wa jambo lolote .Lakini kufikilia kuwa ni lazima kila mtu ashangilie mawazo ya kikundi au mtu mmoja bila mawazo hayo kuyaboresha na michango ya watu waliowengi hapo kuna shida
 
Nimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,

kikawaida Membe ni mchangamfu,mtu wa tabasamu na mara nyingi ni mtu mwenye bashasha wakati wote.

Leo wakati anatoka mahakamani dhidi ya shauri lake na Musiba na wenzake,namuona ni Membe mwingine kabisa,kapungua ,uso wake unaonyesha ndani ya moyo wake kuna kitu kinaumiza nafsi yake,ni kitu gani hicho?,kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?,
kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.

Image is loading...........

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanaccm wote wamezoea maisha ya mteremko, wakiyakosa maisha hayo unajichukulia tu hata mkewe unapiga mpaka unachoka. Yale maImprest aliyokuwa anayasaini yamekatika. Ndio maana wako tayari hata damu imwagike kuliko wapoteze madaraka. Angalia wote wakiwa madarakani wana vitambi, kisha wakitoka suruali zote wanaenda kupunguza kwa fundi au wakivaa baada ya kufunga mkanda zinaweka celebration.

Mfuate leo Membe akuonyeshea zile fursa alizokuwa anawaambia watu kuna fursa kibao, atakujibu kwa upole mambo ni magumu! Ile miradi aliyofungua na kuwakabidhi mashemeji yote inasuasua na mingine imekufa. Yote hayo ni kuzoea maisha ya mteremko kisha wakitoka madarakani unakuta muda wote midomo imewakauka kama wamepakaa mafuta taa.
 
Mkuu mbona na wewe uko tofauti na nilivyokuona?Mkuu umekonda sana nini tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maoni yako yana ukweli flani,pia nafikiri kingine kinachomuumiza ni ile hotuba wakati bunge linavunjwa ,alipowahutubia mabalozi wa tanzania waliokua nje ya nchi,kwamba atakuja kivingine kabisa ,kila akikumbuka anatamani ardhi ipasuke azame
Wanaccm wote wamezoea maisha ya mteremko, wakiyakosa maisha hayo unajichukulia tu hata mkewe unapiga mpaka unachoka. Yale maImprest aliyokuwa anayasaini yamekatika. Ndio maana wako tayari hata damu imwagike kuliko wapoteze madaraka. Angalia wote wakiwa madarakani wana vitambi, kisha wakitoka suruali zote wanaenda kupunguza kwa fundi au wakivaa baada ya kufunga mkanda zinaweka celebration.

Mfuate leo Membe akuonyeshea zile fursa alizokuwa anawaambia watu kuna fursa kibao, atakujibu kwa upole mambo ni magumu! Ile miradi aliyofungua na kuwakabidhi mashemeji yote inasuasua na mingine imekufa. Yote hayo ni kuzoea maisha ya mteremko kisha wakitoka madarakani unakuta muda wote midomo imewakauka kama wamepakaa mafuta taa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mada yako imekosa radha kama mboga iliyotiwa chumvi nyingi. unless ulipataa wasaha wa kumuuliza na kujua nini kinamsibu mpaka kuwa hivyo alivyo otherwise bora ukae kimya na kuacha uchonganisha
 
mimi nadhan sio kukosa cheo wala nini. Ila kuna mambo nyuma ya pazia lait ukiyasikia huwez mlaumu membe. Sasa hivi kila kitu ni mwendo wa visasi. Tena nadhani bora hata kina mbowe washayazoea lakin kila mtu ambaye yuko kinyume anashughulikiwa ipasavyo. Kuna waziri mmoja wazaman sasa hivi hata ile aman ya kutembelea gari imekosekana. Kila mara amekuwa mtu wa kujificha sana. Biashara zao zinafuatiliwa pasipokuwa na msingi. Sasa hiv amani imekuwa kukaa na pesa ndani kuliko kuweka benk.
Nina uhakika 2020 tutashuhudia viongozi wengi au watu wengi ambao wako kinyume na muheshimiwa wakihama nchi
 
mada yako imekosa radha kama mboga iliyotiwa chumvi nyingi. unless ulipataa wasaha wa kumuuliza na kujua nini kinamsibu mpaka kuwa hivyo alivyo otherwise bora ukae kimya na kuacha uchonganisha
Uchonganishi upi?,namchonganisha na nani?,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom