Kulikoni baba paroko?

Nnataka nawe ule ban siku moja ina maana we ndio umekamilikaa sanaa au sie ndio wenye makosaa tu au we Invinsible ninii ,
Ushawah kula ban ngapii kwanzaa??

Bi mkubwa hebu punguza jaka moyo kwanza, maswali yana wakati wake...

Tua kwanza huo mzigowe, upate japo bilauri ya maji kulegeza lako koo...

Eenh haya hebu kaa kitako uniulize hayo maswali kwa staha...

BAN ndio msamiati gani kwanza? Nisijekosea kukutoa wako wasiwasi na kiroho papo
 

Ban ni kifungooo unakijuaa sanaaa
 
Baba paroko Eiyer siku zote watuambia tufuate maneno maneno yako na sio vitendo.. Uko sahihi kweli lol..
Pole na ban.. Karucee pole jipooze kwa Kaizer wakati huu mgumu kwkao.
 
Last edited by a moderator:
Atakuja kuntukana apa we subiri

Aaaah Kaizer mbona waniangusha bana..? Tusi nalo linamnyofoa mtu..? Simba na ukali wake anazalishwa.. Usiwe na shaka Karucee atakuelewa tu unajua saa hizi hana amani na kifungo cha baba paroko wake.. Jitahid uwe karibu nae akikohoa tu muulize anachotaka..
 
Last edited by a moderator:
Ndo amekutuma eeh?
Baba paroko Eiyer siku zote watuambia tufuate maneno maneno yako na sio vitendo.. Uko sahihi kweli lol..
Pole na ban.. Karucee pole jipooze kwa Kaizer wakati huu mgumu kwkao.

We mwanamme, nipishe hivyoo.
Atakuja kuntukana apa we subiri

Na wewe ongozana na Kaizer.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…