Kulikoni baba paroko?

Hivi Eiyer kafariki au??
Mbona mnatoa rambirambi nyingi!
Manake km kafa bila shahada basi hio adhabu ya jahannamu itamtesa mno!
 
Last edited by a moderator:
Miaka miwili na zaidi sijapata BAN namshukuru Mungu kuniongoza kutosema ovyo
 
Tatizo la huyu baba paroko ni kuwa anapenda kotekote!
Kwa yesu na kwa kaizari!
Yaani akiona dogodogo tu mdomo anauwacha wazi! Na mimacho kaitoa utafkiri chura kabanwa mlango!
Halafu sijawahi kuona mchungaji anaependa makalio makubwa km huyu Eiyer!
Duhh!
Hao wanakondoo wanaovaa vi G string na bikini hali ya kuwa ni wazito pande za nyuma naomba wajichunge sana wakikutana na huyu jamaa!
Anaweza singizia kuwa kuna ibada inaendelea nyumbani kwake!
Mkimfuata tu! Mmetolewa pepo!
Shauri yenu!
 
Last edited by a moderator:
kukucd yaan we unaogopa kuingiaa jamii mpaka mtu apigwe ban lol,mbona Eiyer yuko poaa mi naingia humu kwa raha zangu ntaacha kuingiaa labda mwenye jamii anikatazee labda mtu aanzishe blog yakee ndio hatanionaa aiseee
 
Last edited by a moderator:

mdomo jumba la maneno
 
Last edited by a moderator:

Teh teh teh..kahtaan bana mkorofi sana wewe kiumbe dah!
 
Last edited by a moderator:

We bi harusi,
Hicho kiuno chako km ndimu hapo juu huchoki kukitingisha!?

Au umeshapigwa juju kwa kuondoka na mume wa mtu!
Manake toka nakufahamu makalio yako yanacheza mpaka leo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…