Kulikoni baba paroko?

roho mbaya wapi Phlagiey ipake rang ipendeze, yule bwana alikua ananhuzi sana kila nitakachoongea yeye kwake kibaya,nahisi alikua akiona uwepo wangu tu anaandaa madongo yakunipa.

Unajua hapa watu huwa tunapeana changamoto kutokana na kile mtu unachokiandika, hivyo inakusaidi na kukujenga kimawazo na uwezo wa kutetea utakacho kiandika.

Hicho ni kitu kizuri sana labda we ni muoga wa maswali na challange...
 
Daaaaah!!!!! baba paroko pole i'll miss u badly kwa michango yako...
Hope hiyo ban ni kwa mda mfupi Eiyer.
 
Last edited by a moderator:

Karucee mbona roho imekuuma ivo na kauli yangu?umesahau kwamba uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu? Wewe ndo unamuona mzuri kwako ila mi nilikua naona chenga tu,pole najua kimekuuma
 
Last edited by a moderator:
Unajua hapa watu huwa tunapeana changamoto kutokana na kile mtu unachokiandika, hivyo inakusaidi na kukujenga kimawazo na uwezo wa kutetea utakacho kiandika.

Hicho ni kitu kizuri sana labda we ni muoga wa maswali na challange...

challanges zinakuwepo Phlagiey lakin eiyer alikuwa ananiuzi tu kwa makusudi,hamna post niliyoitoa akaacha kuizungumza vibaya tena inakua haina hata maana,hivi mtu ukiandika post kwa swanglish ni vibaya?wengne hawasemi kama wanatumia swanglish ila kukucd tu ndo alikua anamuona
 
Last edited by a moderator:
Yeah imeniuma but naomba tu umsamehe.

Unajua bwana when we have negative feelings towards someone, it eats us up. It takes alot of energy. for this, negative energy. Mfano hapo ulipo anytime you see his name it makes you sick, but he is hardly aware of how you feel.
Karucee mbona roho imekuuma ivo na kauli yangu?umesahau kwamba uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu? Wewe ndo unamuona mzuri kwako ila mi nilikua naona chenga tu,pole najua kimekuuma


Basi yaishe msamehe bure baba paroko wangu.
 

Cmon now Karucee I miss you...our parish priest wil be back soon
 
Last edited by a moderator:
Rest in Peace bro....tutakumiss sana hadi utakapofufuka.
 

Kubali kukosolewa bhana hiyo ni kawaida tu nani njia ya kujifunza..!

Chuki hazijengi.
 

mbona wengi huwa anawarekebisha na hawachukii jaribu kutochukulia kila kitu serious rekebisha panaporekebishika
 
Last edited by a moderator:
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…