Kulikoni baba nanihii ?

Punguza viroba mkuu, thread zako nyingi ni za ki.ji.nga j.inga... Hapa sio facebook au whatsapp...... Hili ni jukwaa la great thinkers atiii.. Sawa bwashee!!

Webwana hebu wacha kutu wekea mchanga kwenye pilau letu,jua watu tuna sumu nying rohoni huwa tunapata muda wa kucheki kidogo majimambo kimtindo yanatuweka karibu hivyo NENDA JUKWAA LA SIASA NA ESCROW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…