Kulikoni baadhi ya nchi zimechukia kusikia uchumi wa Tanzania unaimarika vizuri sana na inajitegemea kugharamia uchaguzi wake mkuu kwa asilimia 100%?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,829
Kwani kipi cha ajabu hapo?
Au walidhani dhamira njema na jitihada madhubuti za makusudi za kiuchumi za Dr.Samia Suluhu Hassan ilikua mzaha?

Huu ni mwanzo tu.
mwaka ujao wa fedha, bajeti ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na Makamu wake Dr.Emmanuel Nchimbi itagharamiwa na fedheha ya Tanzania kwa asilimia 100%.

Wafadhili wanakaribishwa kwenye maeneo mengine ikiwa wana wiwa kufanya hivyo kwa hiyari yao 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
unakuta mtu asbuhi hii anaamkia ufalalasti kama huu🤔🤔🤔
 
Kwani kipi cha ajabu hapo?
Au walidhani dhamira njema na jitihada madhubuti za makusudi za kiuchumi za Dr.Samia Suluhu Hassan ilikua mzaha?

Huu ni mwanzo tu.
mwaka ujao wa fedha, bajeti ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na Makamu wake Dr.Emmanuel Nchimbi itagharamiwa na fedheha ya Tanzania kwa asilimia 100%.

Wafadhili wanakaribishwa kwenye maeneo mengine ikiwa wana wiwa kufanya hivyo kwa hiyari yao 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kuwa na aibu basi
 
Hili suala la wasiojulikana naona Samia nae limemshinda katika yote anayoyafanya ila hili ndio gumu, unadhani ni kwa nini?
 
Kwani kipi cha ajabu hapo?
Au walidhani dhamira njema na jitihada madhubuti za makusudi za kiuchumi za Dr.Samia Suluhu Hassan ilikua mzaha?

Huu ni mwanzo tu.
mwaka ujao wa fedha, bajeti ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na Makamu wake Dr.Emmanuel Nchimbi itagharamiwa na fedheha ya Tanzania kwa asilimia 100%.

Wafadhili wanakaribishwa kwenye maeneo mengine ikiwa wana wiwa kufanya hivyo kwa hiyari yao 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
mkumbuke kulipa deni la mama nasikia limefika trilioni 107
 
Kwani kipi cha ajabu hapo?
Au walidhani dhamira njema na jitihada madhubuti za makusudi za kiuchumi za Dr.Samia Suluhu Hassan ilikua mzaha?

Huu ni mwanzo tu.
mwaka ujao wa fedha, bajeti ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na Makamu wake Dr.Emmanuel Nchimbi itagharamiwa na fedheha ya Tanzania kwa asilimia 100%.

Wafadhili wanakaribishwa kwenye maeneo mengine ikiwa wana wiwa kufanya hivyo kwa hiyari yao 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
20250612_190153.jpg
 
Gentromen... Unaniangusha sasa!! Yan umekuwa mzee wa chuplichupli? Una uchumi upi mkubwa wewe? Kugharamia uchaguzi kwa pesa za mkopo unasifia?

Deni limefikia Trilion 107 .. bado unasifusifu tu.

Kwa idadi yetu ya watu milion 64, tukiamua kulipa kila mtu ni milion 1 na laki 6.. huoni ni hatari
 
UnajitegemeaJe kwa kukopa ?!. Hata hiki kiswahili cha drs la 2 tu huwezi kuelewa !!.
Elimu yetu imetuletea wasiojielewa wengi sana nawe ni moja wao !
 
kama Taifa,
tunakopa kwa mambo ya msingi tu, hususani kwaajili ya miradi ya maendeleo. Na kwavile uchumi wetu unashamiri na kustawi vizur na tunakopesheka popote gentleman 🐒
 
Kwani kipi cha ajabu hapo?
Au walidhani dhamira njema na jitihada madhubuti za makusudi za kiuchumi za Dr.Samia Suluhu Hassan ilikua mzaha?

Huu ni mwanzo tu.
mwaka ujao wa fedha, bajeti ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na Makamu wake Dr.Emmanuel Nchimbi itagharamiwa na fedheha ya Tanzania kwa asilimia 100%.

Wafadhili wanakaribishwa kwenye maeneo mengine ikiwa wana wiwa kufanya hivyo kwa hiyari yao 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Uchumi unaimarika kivipi wakati shilingi inaporomoka? huku mtaani ni vilio kwa sasa watu wanapambania kupata mlo mmoja tu inashindikana,acheni kebehi basi
 
Gentromen... Unaniangusha sasa!! Yan umekuwa mzee wa chuplichupli? Una uchumi upi mkubwa wewe? Kugharamia uchaguzi kwa pesa za mkopo unasifia?

Deni limefikia Trilion 107 .. bado unasifusifu tu.

Kwa idadi yetu ya watu milion 64, tukiamua kulipa kila mtu ni milion 1 na laki 6.. huoni ni hatari
Tunagharamia uchaguzi wetu mkuu kwa 100%, kwe fedha zetu za ndani gentleman.

deni la taifa ni himilivu, na kwakua uchumi unashamiri vizur, bado tunakopesheka kwasabb tuna uwezo wa kulipa 🐒
 
Uchumi unaimarika kivipi wakati shilingi inaporomoka? huku mtaani ni vilio kwa sasa watu wanapambania kupata mlo mmoja tu inashindikana,acheni kebehi basi
acha upotoshaji gentleman,
shilingi ipi unaporomoka?

ukiwa mvivu mayowe na makelele havita kuisha gentleman, ongeza bidii ya kazi 🐒
 
Kwani kipi cha ajabu hapo?
Au walidhani dhamira njema na jitihada madhubuti za makusudi za kiuchumi za Dr.Samia Suluhu Hassan ilikua mzaha?

Huu ni mwanzo tu.
mwaka ujao wa fedha, bajeti ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na Makamu wake Dr.Emmanuel Nchimbi itagharamiwa na fedheha ya Tanzania kwa asilimia 100%.

Wafadhili wanakaribishwa kwenye maeneo mengine ikiwa wana wiwa kufanya hivyo kwa hiyari yao 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ukiona nchi inasema itagharamia uchaguzi wake kwa fedha zake 100%, lakini inajenga matundu ya vyoo kwa fedha za wafadhili jua kuna jambo!
 
Back
Top Bottom