Wapoti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 2,824
- 1,095
Jamani hiki ni kisa nilichoshuhudia mwenyewe.
Dada mmoja alifumaniwa live na mume wake akingonoka na mwanaume mwingine ndani ya nyumba yao.kwa bahati mbaya yule mwanaume alifanikiwa kutoroka kabla mwenye mali hajamtia mikononi.
Cha ajabu mme wake hajamuuliza chochote mpaka leo. Akiondoka anamwachia matumizi kama kawaida pia akirudi anamletea matumuzi na zawadi kama ilivyokuwa awali.Ni mwezi umepita sasa na out kashamtoa mara tatu.hajamnunia anacheka nae kama kawaida. Sasa najiuliza
1. Je kunyamaza inamaana anampenda sana hataki kumuudhi
2. Au anamuandalia adhabu
Kwa kweli hali hii mwanadada kapunguza kilo zaidi ya kumi kakonda balaa .