Ukiona unauliza swali hili na kweli linatoka moyoni, basi uanaume wako una walakini. Dume moja linaweza kupanda majike kumi na zaidi na kuyazalisha, lkn hakuna kitu kama jike moja kupandwa na madume mawili ndio lizae.....amsha kichwa wewe!
Ningemjua mkeo hata kama ni mbaya ningem'bandua ili nione jinsi unavyolia na kumsamehe...pimbi we!
Jamani hiki ni kisa nilichoshuhudia mwenyewe. Dada mmoja alifumaniwa live na mume wake akingonoka na mwanaume mwingine ndani ya nyumba yao.kwa bahati mbaya yule mwanaume alifanikiwa kutoroka kabla mwenye mali hajamtia mikononi. Cha ajabu mme wake hajamuuliza chochote mpaka leo. Akiondoka anamwachia matumizi kama kawaida pia akirudi anamletea matumuzi na zawadi kama ilivyokuwa awali.Ni mwezi umepita sasa na out kashamtoa mara tatu.hajamnunia anacheka nae kama kawaida. Sasa najiuliza
1. Je kunyamaza inamaana anampenda sana hataki kumuudhi
2. Au anamuandalia adhabu
Kwa kweli hali hii mwanadada kapunguza kilo zaidi ya kumi kakonda balaa .
Kama ni kweli basi huyo ni wa pili kumskia, laiti wanaume wote tungekuwa hivyo basi vifo vya wivu wa kimapenzi visingekuwepo. Tukio la namna hiyo liliwahi tokea maeneo yetu, jamaa aliyefanya hivyo huyo hai ingawa ni mzee kwa sasa. Alifanya kama jamaa alivyofanya. Baada ya wiki mbili mwanamke akaaga anaenda kusalimia kwao. Kufika kwao binti akajishitaki kwa wazazi wake na kuwaelezea situation, nao wakaduwaa. Kesho yake jamaa katia timu ukweni. walipomwona walifurahi,wakaandaa misosi ya nguvu, huku wakiwa na shauku ya kumsikia. Jamaa akagonga misosi kama kawaida. Jambo la kushangaza baada ya misosi jamaa akawa anapiga stori nyingine tu. Mida ikazidi kuyoyoma, kila mtu anashauku ya kumsikia. Ajabu, jamaa akawaaga ili aondoke. Ilibidi mama mkwe alianzishe mwenyewe; akamuuliza kijana kama ana matatizo na binti yao, jamaa akakana, na kwamba hiyo safari ilikuwa ni kutaka kuthibitisha kama amefika nyumbani maana alimuaga anaenda kusalimia. Jibu liliwakata maini wazee, kwa masikitiko wakamwacha aondoke. Walichomwambia binti yao hakijulikani ila binti hakurudi tena, hata nguo alizoacha hakuzirudia. Ndo ikawa the end.kwa kuwa anahitaji ushauri lazima atatujuza kila kitu na mbaya sana mme wake hali chakula nyumbani na hic anaogopa labda atakitia sumu
mbona wake zetu wakitufumania hawatupigi wala kutupa adhabu wanalia, wanatusamehe! iweje mwanaume akifanya hivyo iwe tatizo?