Asante, nimeiona na pole kwa usumbufu ulioupata.
Huyo mdada yuko msibani lakini ana agenda yake ya siri. Kama hapo ndo msibani, night club anakuwaje? Mmh!
waheshimiwa nimefurahishwa jinsi mlivyo wataalamu wa kuchunguza kila detail ktk picha,hamdanganyiki kirahisi,kweli nyie ni magreat thinker wa kuchambua picha hahhaaaa LOL,ni kweli hapo sio msibani kwa maana ya msibani kunakowekwa maturubai ila hapo ni sehemu fulani ambapo mastar wa bongomovie walikusanyika wakijirusha kisha steve nyerere akasema watumie dakika kadhaa kukaa kimya kumkumbuka star wao marehemu kanumba ndo wakaanza kulia.Huyo mdada ni kweli analia hapo.Nadhani mmenisoma. MadameXmisnomerHutegfsonwinandishile.