Kuleni chakula bora, mfano wa kuigwa.

eeeh kweli hiki chakula safi kabisaa!
 
wasukuma hapa udeda ....... yaani lekaga gete ngosha!!
 
Kuna kipindi enzi zile RTD kilikuwa cha kuhamasisha kula kilikuwa kikianza na wimbo kuleni kuku mayai mboga samaki maziwa,,,,na kujenga nyumba safi pa kulala pawe boraa!! Cku hz akipo au ni mambo ya ukata kuwaimbia watu wakati wanashindia mlo mmoja!!
 
Baada ya hapo ngoja waende Chooni! Shughuli pevu
 
Kuna kipindi enzi zile RTD kilikuwa cha kuhamasisha kula kilikuwa kikianza na wimbo kuleni kuku mayai mboga samaki maziwa,,,,na kujenga nyumba safi pa kulala pawe boraa!! Cku hz akipo au ni mambo ya ukata kuwaimbia watu wakati wanashindia mlo mmoja!!

Ni kweli hicho kipindi kilikuwepo, Mzee mmoja aliposikia pakulala pawe bora akajifungasha na godoro lake hadi duka la viatu la BORA ili alale hapo walinzi walipomtimua akawaambia ameambiwa redioni.
 
Not balanced diet hiyo, pili hii ni lazima iwe very excessive meal for 3 people. Yaani mtu anakula zaidi ya uwezo wake, halafu mnalia njaa.
 
...jamaa siyo wa ku-share nao toilet moja hao, hiyo kitu kwa wingi tuuonao hai-flushiki hiyo!!! vinginevyo ni mwenendo wa "flying toilets" tu!!!
 
DUH kitu cha Ulezi hicho mwana, shurti ulumangie na blueband au mlenda otherwise ukienda kwa toilet utapiga gogo halikatiki
 
hii balaa hii!!
Wakimaliza hiyo zege hapo hawaamki!!
 
kitu kilimanjaro mt............hiyo nainaga nikienda kwetu sengerema.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…