katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,758
- Thread starter
- #21
HatakiMpe nyonyo uyoo
HatakiMpe nyonyo uyoo
Hapana Hana njaa Wala Nini uchokoziMnyonyeshe atatulia, njaa inamsumbua ndio maana analia 😂
Pole sana bibieNyie mnaleaje maana huyu analia kama Nini hata umpe Nini, au umfanyie Nini analia tu basi . Shida Nini??? Tusaidiane ??