Kule Gikomba Kenya wauza mitumba watarudi?

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,826
1,730
Sasa hii Timua timua wajameni si ndio itatusababishia hata sisi tulioko huku tutimuliwe?. Imagine kule Gikomba Kenya wauza mitumba karibuni wote ni wa Tanzania tena kutoka kuleeee Kilimanjaro... akina mangi sasa na wakenya wakijibu mapigo itakuwaje......
 
Kenya hawana chuki hizo. Hapa tunaendesha shuguli zetu kwa uhuru na ushirikiano na ndugu zetu wakenya.
 
sioni sababu ya hofu, serikali haijafukuza wafanya biashara wa kenya wanaoishi kihalali. inaondoa wasioishi kihalali. kama wewe ni muuza mitumba kwa nini usiishi kihalali huko ulipo! fuata utaratibu katika nchi unayoishi
 
Sasa hii Timua timua wajameni si ndio itatusababishia hata sisi tulioko huku tutimuliwe?. Imagine kule Gikomba Kenya wauza mitumba karibuni wote ni wa Tanzania tena kutoka kuleeee Kilimanjaro... akina mangi sasa na wakenya wakijibu mapigo itakuwaje......

Kama hauna kibali cha kuishi na kufanya kazi huko uliko basi Serikali ya Kenya ina kila sababu ya kukufukuza, kwa maana wewe ni muhamiaji haramu na umevunja sheria za nchi unayoishi !
 
Kama wamefuata taratibu za huko kuhusu ukazi sawa.Kama sivyo kazi kwao na Serikali ys Kenya.
 
Kama hauna kibali cha kuishi na kufanya kazi huko uliko basi Serikali ya Kenya ina kila sababu ya kukufukuza, kwa maana wewe ni muhamiaji haramu na umevunja sheria za nchi unayoishi !

Mimi siko Kenya niko nchi nyingine kabisa na nina kibali nasemea wengine waliojazana kule Kenya
 
Mimi siko Kenya niko nchi nyingine kabisa na nina kibali nasemea wengine waliojazana kule Kenya

Hata wao pia Sheria za nchi husika lazima zifwate kama wamevunja sheria za nchi wanayoishi basi hawana budi kuchukuliwa hatua kulingana na utaratibu wa nchi husika!
 
Back
Top Bottom