Kulanguliwa Tiketi ni Kujitakia -TFF

Kulanguliwa Tiketi ni Kujitakia -TFF

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Ingawa imetolewa kwa nia nzuri kuhamasisha wadau kununua tiketi mapema kauli hii ya Wambura cum TFF ni kama inashadadia RUSHWA nchini maana implication yake ni kama inabariki walanguzi na kulaani wasionunua tiketi "mapema"


maswali mengi yanabaki juu ya ununuzi wa tiketi "mapema"

  1. Ikiwa sufficient and reasonable notice imetolewa
  2. ikiwa tiketi hizo zinapatikana kwa urahisi (availability and accessibility)
  3. na ikiwa umma umeelimishwa pasi na shaka (% coverage ya mass awareness)

my take; muwe makini TFF na kauli
 
Back
Top Bottom