Kulala sana nako kunasababisha ugonjwa

Kulala sana nako kunasababisha ugonjwa

Uko karibu na wakuu wako wa kazi afu unapata muda mwingi wa kulala kazini bila shaka wewe ni dereva wa boss bisha mkuu!!
 
Bahati mbaya huku jf huwezi kufuta thread uliyoianzisha [emoji23] [emoji23]
Huu mwandiko huu
 
Mpumbavu sana wewe ningekuwa nimekuajiri ningekufukuza kazi kwa sms.
 
Bahati mbaya huku jf huwezi kufuta thread uliyoianzisha [emoji23] [emoji23]
Huu mwandiko huu
Nilishawahi kujitambulisha humu kwamba,.. Watu wote wamefika chuo ispokuwa mimi tu niliishia la kumi kwa hiyo mkuu nivumilie tu naongea ukweli kabisa na anaenijua kiundani humu ni mmoja tu tena maarufu.
 
Mchawi umejuaje mimi ni mchawi kama wewe sio mganga uliyenipa uchawi tena unaingilia mambo hayakuhusu
Nimejua kwa jinsi ulivokuja kukoment best...
Umekoment kwa chuki kama mimi ndo nimekuongezea kodi kwenye ile biashara yako.
 
Nilishawahi kujitambulisha humu kwamba,.. Watu wote wamefika chuo ispokuwa mimi tu niliishia la kumi kwa hiyo mkuu nivumilie tu naongea ukweli kabisa na anaenijua kiundani humu ni mmoja tu tena maarufu.
Mwenzako mimi nimeishia la 7
 
Back
Top Bottom