sasa kama mtoto wa chini ya miezi sita hawezi kulala na wazazi wake je, wa miaka 12 ndio inafaa? we kama mwanaume wako ni mlevi na mvuta sigara msilale na mtoto ila wengine tuache tu. mtoto mchanga unataka alale mwenye ili iweje wakati anatakiwa kuwa monitored muda wote? mimi nilikuwa nalala na mama na mtoto wetu na tulikuwa tunamwangalia wote muda wote, mama akisinzia unakuta sometimes kidume naperuzi jamii forums hivyo napata fursa ya kumwangalia mtoto na kumcheck vitu kama joto na kadhalika na alipofikisha umri fulani akaanza kulala kwenye kitanda chake na baadae tukamtimua na chumba akahamia kwa wenzake. kama ni imani potofu baki nayo kwenu
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka kautaratibu ka mume na mke kulala kitanda kimoja tofauti za babu na bibi zetu walivyo fanya kwani wao hata vyumba walilala tofauti isipo kua mke ndio alikua anahamia kulala kwa mume wake akiwa anahitaji kutimiza majukumu ya ndoa yao.
Lakini cha ajabu sasa hivi utakuta mtoto chini ya miezi 6 ana lala kitanda kimoja na wazazi wake wote wawili.
Mama kulala na mtoto ni haki kabisa kwa sababu za msingi kabisa.. lakini wote watatu kulala kitanda kimoja sio kabisa kwa afya ya mtoto.
Kwanza kiafya..waume wengine wanakunywa pombe, wanavuta sigara na mambo mengi kibao.
Nadhani jamii inatakiwa kuelimishwa kwa sababu sio kila jambo la kigeni linaweza faa katika mazingira yote.
Nadhani hii inachangiwa na hofu waliyo nayo wanawake kwamba wanaume wasijisikie wametengwa wasije ishia kuchepuka.
Labda hospital za private maaa lakini government mtoto atalala kitanda kimoja hapo hapo na mama yake Tena saa zingine kitanda kimoja kinakua na wazazi wawiliMtoto anatakiwa alale pekee yake ndio maana hata hospitali watoto wachanga wana vitanda vyao vile vidogo.
Binafsi mimi naonaga mtoto alale kwenye kitanda chake. Pembeni ya kitanda cha wazazi.Miaka ya hivi karibuni kumeibuka kautaratibu ka mume na mke kulala kitanda kimoja tofauti za babu na bibi zetu walivyo fanya kwani wao hata vyumba walilala tofauti isipo kua mke ndio alikua anahamia kulala kwa mume wake akiwa anahitaji kutimiza majukumu ya ndoa yao.
Lakini cha ajabu sasa hivi utakuta mtoto chini ya miezi 6 ana lala kitanda kimoja na wazazi wake wote wawili.
Mama kulala na mtoto ni haki kabisa kwa sababu za msingi kabisa.. lakini wote watatu kulala kitanda kimoja sio kabisa kwa afya ya mtoto.
Kwanza kiafya..waume wengine wanakunywa pombe, wanavuta sigara na mambo mengi kibao.
Nadhani jamii inatakiwa kuelimishwa kwa sababu sio kila jambo la kigeni linaweza faa katika mazingira yote.
Nadhani hii inachangiwa na hofu waliyo nayo wanawake kwamba wanaume wasijisikie wametengwa wasije ishia kuchepuka.
Serikali itusaidie kujenga affordable social housing mijini za vyumba kimoja, viwili na vitatu kwa kodi ya laki chumba kimoja, laki mbili 2 ect.
Wakinunulie Moses basket 🧺Kuna watu nawajua wanapesa na nyumba kubwa lakini kichanga wana lala nacho kitanda kimoja..
Mara nyingi walikua hawalali pamoja,walikua nawake watatu au wawili hivyo,akati huyu amejifungua basi anahamia kwamwingine .Sasa nyie mmeganda tu na joy.changamkaMiaka ya hivi karibuni kumeibuka kautaratibu ka mume na mke kulala kitanda kimoja tofauti za babu na bibi zetu walivyo fanya kwani wao hata vyumba walilala tofauti isipo kua mke ndio alikua anahamia kulala kwa mume wake akiwa anahitaji kutimiza majukumu ya ndoa yao.